CHADEMA wahaha na Mwigulu Nchemba

CHADEMA wahaha na Mwigulu Nchemba

Kwakweli nimeamini chadema hakuna wenye hoja,hebu fikiria inakuwaje chama kizima kinahangaishwa na kunyimwa usingizi na mtu mmoja tu ambaye ni mbunge machachali Kutoka huko mkoani Singida.Jamaa ni noma akisimama popote iwe jukwaani au bungeni,akizungumza tu hakuna mwenye uwezo wa kuvunjavunja hoja zake.lakini yeye ni fundi sana wa kuvunja hoja za wapinzani na kuoneka dhaifu kabisa.Chadema wanabaki wanalialia tu na kutukana.Huyu ni mmoja tu anatetemesha chama kizima cha chadema.

Nadhani kuna umuhimu wa chadema kama chama mkaendelea kujipanga ,jamaa bado hata robo ya mabomu yake kwa hajayalipua.Huyo ndiyo mwigulu bwana,ni shabab anayewanyima usingizi na kuwashughulisha chadema.

Nilikuwa nimekaa na wanachuo wengi sana siku jamaa anapangua hoja za chadema kuhusisha ccm kwenye milipuko ya arusha,jamaa jinsi alivyokuwa anaongea bungeni,kila mtu pale alisema kuwa huu mchezo umechezwa na chadema wenyewe,maana kila neno alilotumia lina mantiki.

Hilo ni mmoja tu linasumbua chama chote cha chadema.

Kichwa chako ni kibovu kama una unavyojiita na huwezi kupambanua jema na baya. I pity you.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kwakweli nimeamini chadema hakuna wenye hoja,hebu fikiria inakuwaje chama kizima kinahangaishwa na kunyimwa usingizi na mtu mmoja tu ambaye ni mbunge machachali Kutoka huko mkoani Singida.Jamaa ni noma akisimama popote iwe jukwaani au bungeni,akizungumza tu hakuna mwenye uwezo wa kuvunjavunja hoja zake.lakini yeye ni fundi sana wa kuvunja hoja za wapinzani na kuoneka dhaifu kabisa.Chadema wanabaki wanalialia tu na kutukana.Huyu ni mmoja tu anatetemesha chama kizima cha chadema.

Nadhani kuna umuhimu wa chadema kama chama mkaendelea kujipanga ,jamaa bado hata robo ya mabomu yake kwa hajayalipua.Huyo ndiyo mwigulu bwana,ni shabab anayewanyima usingizi na kuwashughulisha chadema.

Nilikuwa nimekaa na wanachuo wengi sana siku jamaa anapangua hoja za chadema kuhusisha ccm kwenye milipuko ya arusha,jamaa jinsi alivyokuwa anaongea bungeni,kila mtu pale alisema kuwa huu mchezo umechezwa na chadema wenyewe,maana kila neno alilotumia lina mantiki.

Hilo ni mmoja tu linasumbua chama chote cha chadema.

mwigulu hasumbui chama bali anasumbua wananchi na anawatesa nakuwaua ndo mana anumiza kchwa wapenda haki coz yupo ktk chama tawala analindwa ila we mcfie tu ipo cku yakikugeuka nawewe utaja jua coz wao kwa wao huwa wanageukana kumbuka Mwandosya na Mwakyembe kilichowapata unahic km Mwigulu ni Mungu unavyomsifia wazaz wako wenyewe hujawah wasifu km unavyomsifu Mwigulu
 
Ghaddafi na wanawe waliamini kuwa wanaweza kufanya lolote jema au baya pasipo kuhojiwa na mtu yeyote na hata kufika mahali pa kuwafananisha wananchi wa Libya na mende, lakini wote wako wapi,

Nguvu ya mamba akiwa majini, kwa mwigulu nguvu yake rais na polisi, hata savimbi alikuwa anaishi kwa kiburi na jeuri ya watu wengine ila waliposema basi ikawa mwisho wake.

Ole wake mtawala wa nchi anayeshirikiana na wahalifu kupanga namna ya kuua raia wake ili aendelee kuitwa mtawala
 
Mimim naona kama mwigulu anatumiwa na CHADEMA kuichafua CCM wewe uliyepost hujastukia.....Mana kila tukio analopiga linazidi kuichafua CCM...
 
Kwakweli nimeamini chadema hakuna wenye hoja,hebu fikiria inakuwaje chama kizima kinahangaishwa na kunyimwa usingizi na mtu mmoja tu ambaye ni mbunge machachali Kutoka huko mkoani Singida.Jamaa ni noma akisimama popote iwe jukwaani au bungeni,akizungumza tu hakuna mwenye uwezo wa kuvunjavunja hoja zake.lakini yeye ni fundi sana wa kuvunja hoja za wapinzani na kuoneka dhaifu kabisa.Chadema wanabaki wanalialia tu na kutukana.Huyu ni mmoja tu anatetemesha chama kizima cha chadema.

Nadhani kuna umuhimu wa chadema kama chama mkaendelea kujipanga ,jamaa bado hata robo ya mabomu yake kwa hajayalipua.Huyo ndiyo mwigulu bwana,ni shabab anayewanyima usingizi na kuwashughulisha chadema.

Nilikuwa nimekaa na wanachuo wengi sana siku jamaa anapangua hoja za chadema kuhusisha ccm kwenye milipuko ya arusha,jamaa jinsi alivyokuwa anaongea bungeni,kila mtu pale alisema kuwa huu mchezo umechezwa na chadema wenyewe,maana kila neno alilotumia lina mantiki.

Hilo ni mmoja tu linasumbua chama chote cha chadema.

wanachuo wa wapi na wana hadhi gani? Kwani hata madrasa nacho ni chuo,hata hao wanachuo hawajitambui,umeona ukisema chuo ndio utakuwa authentic sana,kapokee buku saba zako Lumumba.
 
Pamoja na support yote anayopewa na policcm lakini bado anafanya mambo nusunusu, asingekuwa na nguvu ya dola nyuma yake wala ccm isingekuwepo leo
 
Mtoi kwa mambo yalivyo siku hizi hayahitaji logic hata unaelimu kama ya sugu na lema unagundua tu kwamba mwigulu kawashika chadema

Mkuu ingekuwa nafuu kama angeendelea kuwashika cdm tu, sasa amehama mpaka watoto wadogo ameanza kuwa uwa! Mnasema ametumia sehenu ndogo ya mabomu yake, alileta mangapi kutoka china ukiondoa hayo mawili aliyokwisha lipua?
 
Kwakweli nimeamini chadema hakuna wenye hoja,hebu fikiria inakuwaje chama kizima kinahangaishwa na kunyimwa usingizi na mtu mmoja tu ambaye ni mbunge machachali Kutoka huko mkoani Singida.Jamaa ni noma akisimama popote iwe jukwaani au bungeni,akizungumza tu hakuna mwenye uwezo wa kuvunjavunja hoja zake.lakini yeye ni fundi sana wa kuvunja hoja za wapinzani na kuoneka dhaifu kabisa.Chadema wanabaki wanalialia tu na kutukana.Huyu ni mmoja tu anatetemesha chama kizima cha chadema.

Nadhani kuna umuhimu wa chadema kama chama mkaendelea kujipanga ,jamaa bado hata robo ya mabomu yake kwa hajayalipua.Huyo ndiyo mwigulu bwana,ni shabab anayewanyima usingizi na kuwashughulisha chadema.

Nilikuwa nimekaa na wanachuo wengi sana siku jamaa anapangua hoja za chadema kuhusisha ccm kwenye milipuko ya arusha,jamaa jinsi alivyokuwa anaongea bungeni,kila mtu pale alisema kuwa huu mchezo umechezwa na chadema wenyewe,maana kila neno alilotumia lina mantiki.

Hilo ni mmoja tu linasumbua chama chote cha chadema.
ni kweli unahaki ya kufurahia lakin ukae ukijua kuwa unashiriki kuwatendea binadam wenzio ukatili ambao hata mungu wako kwa iman yako hapendezewi mambo hayo pamoja na ushabiki tulio nao lakin tujue kuna binadamu wenzetu wanatendewa unyama kwa manufaa ya wachache mkaanga sumu na mnyweshaji pamoja na walio ona waka kaa kimya au kufurahia woote ni wauwaji.
 
Jina la Mwigulu Nchemba kwa Chadema ni sawa na kibaka akutane na polisi au jangiri na askari wanyamapori.
 
Kwakweli nimeamini chadema hakuna wenye hoja,hebu fikiria inakuwaje chama kizima kinahangaishwa na kunyimwa usingizi na mtu mmoja tu ambaye ni mbunge machachali Kutoka huko mkoani Singida.Jamaa ni noma akisimama popote iwe jukwaani au bungeni,akizungumza tu hakuna mwenye uwezo wa kuvunjavunja hoja zake.lakini yeye ni fundi sana wa kuvunja hoja za wapinzani na kuoneka dhaifu kabisa. CHADEMA wanabaki wanalialia tu na kutukana.Huyu ni mmoja tu anatetemesha chama kizima cha CHADEMA.

Nadhani kuna umuhimu wa CHADEMA kama chama mkaendelea kujipanga ,jamaa bado hata robo ya mabomu yake kwa hajayalipua.Huyo ndiyo mwigulu bwana,ni shabab anayewanyima usingizi na kuwashughulisha CHADEMA.

Nilikuwa nimekaa na wanachuo wengi sana siku jamaa anapangua hoja za CHADEMA kuhusisha CCM kwenye milipuko ya Arusha,jamaa jinsi alivyokuwa anaongea bungeni,kila mtu pale alisema kuwa huu mchezo umechezwa na CHADEMA wenyewe,maana kila neno alilotumia lina mantiki.

Hilo ni mmoja tu linasumbua chama chote cha CHADEMA.

Wewe mlibeli
 
Mwigulu nchemba waliosema mchawi amekulia msituni akila nyama za watu na mimi nakubaliana nao yeye andhani sifa kujiweka front line kuwa muuaji na kutekeleza uuaji sio chadema tuu leo nimepanda basi toka singida hadi Dar habari ni ya mwigulu kuwa master minder wa mauaji nchini sasa hiyo ni sifa yeye na kizazi chake ameshalaanika
 
Mimim naona kama mwigulu anatumiwa na CHADEMA kuichafua CCM wewe uliyepost hujastukia.....Mana kila tukio analopiga linazidi kuichafua CCM...
Huo ni mtazamo wako lakini ebu taja jina la Mwigulu mbele ya Dr Slaa,Mbowe,Lema au Msigwa uone kitakachofuata.Kama si kufutwa uanachama basi ni onyo kali sana.Jamaa anachafua nyongo za vigogo wa Chadema.
 
ni kweli unahaki ya kufurahia lakin ukae ukijua kuwa unashiriki kuwatendea binadam wenzio ukatili ambao hata mungu wako kwa iman yako hapendezewi mambo hayo pamoja na ushabiki tulio nao lakin tujue kuna binadamu wenzetu wanatendewa unyama kwa manufaa ya wachache mkaanga sumu na mnyweshaji pamoja na walio ona waka kaa kimya au kufurahia woote ni wauwaji.

Chedema tatizo lao ni mabingwa wa kuruka mambo maovu wanayoshiriki kuyafanya.Wenyewe wayafanye,ubaya wawatafutie wengine.
 
Mwigulu anafanya kazi chini ya mgongo wa serikali inayosimamiwa na chama chake huku akitumia vyombo vya dola vinavyotumia kodi zetu ili kupandikiza maovu kwa wapinzani na kudhuru/kuuwa raia wema ili kuhakikisha chama chake kinabaki madarakani kwanguvu. Kwahiyo ingekuwa vizuri ukarekebisa kichwa cha habari yako na kisomeke "CHADEMA WAHAHA NA UDHALIMU WA SERIKALI YA CCM" utaeleweka vizuri.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu rudi kwenye hoja mbona kata alizoshinda husemi,jibu andiko la jamaa,je kunamwanachadema hata mmoja anaweza kupangua hoja za mwigulu?

tuliwafukuza vibaraka wa kikoroni,kumbe wazawa mpo?kwa manufaa binafsi uutie udhia umma?hatutakuacha hai siku ikifika.
 
Kwakweli nimeamini chadema hakuna wenye hoja,hebu fikiria inakuwaje chama kizima kinahangaishwa na kunyimwa usingizi na mtu mmoja tu ambaye ni mbunge machachali Kutoka huko mkoani Singida.Jamaa ni noma akisimama popote iwe jukwaani au bungeni,akizungumza tu hakuna mwenye uwezo wa kuvunjavunja hoja zake.lakini yeye ni fundi sana wa kuvunja hoja za wapinzani na kuoneka dhaifu kabisa. CHADEMA wanabaki wanalialia tu na kutukana.Huyu ni mmoja tu anatetemesha chama kizima cha CHADEMA.

Nadhani kuna umuhimu wa CHADEMA kama chama mkaendelea kujipanga ,jamaa bado hata robo ya mabomu yake kwa hajayalipua. Huyo ndiyo mwigulu bwana,ni shabab anayewanyima usingizi na kuwashughulisha CHADEMA.

Nilikuwa nimekaa na wanachuo wengi sana siku jamaa anapangua hoja za CHADEMA kuhusisha CCM kwenye milipuko ya Arusha,jamaa jinsi alivyokuwa anaongea bungeni,kila mtu pale alisema kuwa huu mchezo umechezwa na CHADEMA wenyewe,maana kila neno alilotumia lina mantiki.

Hilo ni mmoja tu linasumbua chama chote cha CHADEMA.

Hapo kwenye bold sijapaelewa vizuri MKUU!!! Umesema eti huyu jamaa ni nani vile mkuu?
 
Back
Top Bottom