Recent content by Blackush

  1. Blackush

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ubora wa camera ya canon EOS T5/1400D ,lensi 18-55mm Megapix 24 Kwenye picha na video shooting

    UnauzA au unataka kujua ubora wke!?
  2. Blackush

    JamiiForums Tanzania Tabiri ccm watakuja na kauli mbiu gani mwakani!

    Mwaka 2015 ilikuwa ni "HAPA KAZI TU" na tukafanya kazi sasa 2020 itakuwa "KANYAGA TU" NA TUTAKANYAGANA SIO MCHEZO
  3. Blackush

    JamiiForums Tanzania Singida: Waandishi wa Azam wapata ajali wakielekea Chato

    kwakel hili ni pigo kubwa sana
  4. Blackush

    JamiiForums Tanzania Singida: Waandishi wa Azam wapata ajali wakielekea Chato

    Aamen Aaamen
  5. Blackush

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ndio wafanyakazi/wajasiliamali wenye muonekano wa afya kuliko wengi wa watafutaji

    matunduizi Hivi hujawaza ni kwa kiasi gani pia wanaouza katika ofisi mbalimbali za biashara wametulia lakini chunguza ni kwa kiasi gani wako flexible kuliko hata hawa bodaboda.
  6. Blackush

    JamiiForums Tanzania Historia ya Dinasours

    labda uniambie kuwa huenda walitoweka kutokana na shughuli za kibinaadam lakini pia tuthibitishaje kuwa ni kweliii
  7. Blackush

    JamiiForums Tanzania Historia ya Dinasours

    Bwana Denis Sio kwamba ninakuoinga iala nadharia yako naona imejikita sana katika masuala ya maandiko katika maandiko tunasoma katika mwanzo kuwa Mungu alipoumbna ulllimwengu akamumba kwanza mwanadamu ambaye alimuumba kwa sura na mfano wake (Mwanzo 1) ndipo akaumba wanyama wengine tena makundi...
  8. Blackush

    JamiiForums Tanzania Historia ya Sarafu Yetu Tanzania

    daaaaaah ebana somo ni tam mnoooo kwakwel tumetoka mbali mno kumbe enzi hizo fedha zetu zilikuwa na thaman sana wandugu najiulza sana kwann mpaka leo bado tuko hapa??
Back
Top Bottom