Sidhani kama ni sahihi kusema wlishindwa kubaini, unajua kuna point hata wao wanafika, na wanagundua kila kitu lakini wanaambiwa hakuna neno kutoka nje. Nyani ni Nyani tu hata wakiwa na rangi tofauti bado hawawezi kuhukumu kesi ya ngedere.
Hahaaa... kiujumla wamasai si watu wa kufuata dini, wengi si wakristo wala waisilamu, isipokuwa siku hizi wapo wanapingia uisilamu na ukristo pia...... hivyo wapo wamasai wengi tu wanaoswali, kufunga na kusoma Quran vizuri kabisa.
Kwenye ubalozi wa UAE kuna jamaa Masai na anaongea kiarabu hatari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.