Recent content by blackberryz30

  1. blackberryz30

    JamiiForums Tanzania Rais ni taasisi, tuheshimu ofisi ya urais

    Kila ofisi, idara au taasisi.... huheshimika au kudharaulika kwa matendo yake....hivyo sifa huja kulingana na inachozalisha....hakuna haja ya kulazimisha heshima kama ofisi husika haizalishi heshima husika. Chunguza ofisi unayoitaja na watu waliohudumu katika ofisi hiyo kwa nyakati tofauti...
  2. blackberryz30

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nawashangaa CHADEMA wanamshabikia Askofu Gwajima leo, ina maana wanasahau mapema kiasi hiki?

    Mtu akiwa mjinga atakuwa mjinga maisha yote hata akielimishwa ataendelea kuwa mjinga, same to mwaminifu, mkorofi, mshenzi, mtakatifu n.k. si ndio unamanisha hivyo....kwamba binadam ni static habadiliki....sifungamani na chama chochote lakini wengi wa mashabiki na wafuasi wa vyama vyote vya...
  3. blackberryz30

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unadhani kwanini watu wanajiandikisha zaidi ya mara moja kwenye daftari la wapiga kura?

    We unaamini kuwa wamejiandikisha zaidi ya mara moja!? Na unaamini kuwa 37m wamejiandikisha?
  4. blackberryz30

    JamiiForums Tanzania Tuzitambue gari nzuri za abiria na zenye huduma bora 2025. Nipe taarifa za basi kali kutoka mkoa hadi mkoa tafadhali

    Esther itolewe hao wana huduma mbovu wahudumu kauli mbovu ...hawa hawafai hata kuwa Barabarani!
  5. blackberryz30

    JamiiForums Tanzania Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

    Siku watanzania tukiacha kuzungusha lile koroboi....akili zitarudi....lakini nje ya hapo huruma yake Mungu mwenyewe aingilie kati ....! Na kama watanzania tunaoamini nguvu ya Mungu na uweza wake au wale wanaoamini kuwa kuna nguvu zaidi ya tuyaonayo ....tunatakiwa tusimame kuondoa mkataba na...
  6. blackberryz30

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tangu waafrika tupate uhuru Hadi Sasa hakuna nchi Tajiri iliyofanikiwa

    Fuatilia kwanza ni vumbuzi ngapi za hapa hapa kwenu zimeuwawa na mawazo mgando badala ya kuziboresha halafu njoo mtetee huyo serikali, Wabunifu ( individual) kufa masikini sio hoja ila ubunifu wao umeleta mabadiliko chanya kwenye mataifa yao na kuendeleza mataifa yao....sio lazima wote tuwe...
  7. blackberryz30

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tangu waafrika tupate uhuru Hadi Sasa hakuna nchi Tajiri iliyofanikiwa

    Sababu za kipumbavu hizi..... Vyote hivyo unavyovisema hawajashushiwa kama muujiza....waliumiza vichwa...kupasuka na kutatua matatizo yao....wangekaa kisubiri wawe navyo kama tunavyoamini kuwa hatuna....halafu tumekaa na kusema hatuna....nani atakuletea ! Sisi ni wavivu na tunataka...
  8. blackberryz30

    JamiiForums Tanzania Lissu akitoka gerezani atamkuta Heche kabaki peke yake kwenye Chama. Hapo ndipo watajua kuwa Mbowe alikuwa mwamba

    Japo sifungamani na chama chochote...lakini kwa hawa ndugu zetu Chadema kwa sasa kila kitu kinaeleweka ....inaeleweka kuwa Mbowe na kundi lake kwa ujumla agenda ilikuwa ni ipi! Kiufupi kila kitu ni maigizo hakukuwahi kuwa na upinzani nchi hii ni viini macho, tangu enzi ilipoanza ya vyama vingi...
  9. blackberryz30

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na hali kama hii wewe kama mtafutaji?

    Tatizo tukifika kipindi hiki tunawaona waliopo nje ya kipindi kama hawajui au wanakosea na kuamini kama kipindi hiki kitadumu milele.....na hatuhangaiki kuweka sawa ile miaka saba ya njaa....tunajua shibe ipo muda wote.....""hivi unafahamu kuwa saa saba mchana kwa mtu "japo hayupo" ambaye...
  10. blackberryz30

    JamiiForums Tanzania Taifa letu bado ni Salama Na Lenye Usalama wa kutosha. Watanzania tembeeni vifua mbele na kujivunia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

    Si hitaji kuambiwa na yeyote....maana nchi haina umiliki wa mtu mmoja hata aje aniambie....na hiyo itaendelea kuwepo na wananchi wake....na kwa kila kiungo nilichojaliwa kuweza kuyatambua na kuyatawala mazingira yangu naona kwamba usalama ni mdogo na unazidi kuwa mdogo.
  11. blackberryz30

    JamiiForums Tanzania Taifa letu bado ni Salama Na Lenye Usalama wa kutosha. Watanzania tembeeni vifua mbele na kujivunia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

    Hivyo vyombo unavyovisema havileti hiyo amani ....amani ipo mioyoni mwa watanzania na amini kuwa kadri wanavyozidi kutibuliwa gauge inazidi kushuka....kuna mahali watafika wataamua kuwa imetosha....hapo ndio mtajua hivyo vyombo sio kitu....risasi mabomu na kila mnachokiwaza kama kinga hakitakuwa...
  12. blackberryz30

    JamiiForums Tanzania Wachina wamejipiga pini kwenye vita ya ushuru, Soko kubwa dunia nzima lipo Marekani

    Amecopy nini na kupaste....na kama ni rahisi namna hiyo mbona na wengine kama Tanzania wasifanye hivyo mambo yakawa mepesi.
  13. blackberryz30

    JamiiForums Tanzania Ukishaingia kwenye situation kama hii, Bachelor, Masters, CPA au PHD haviwezi kukusaidia tena weka pembeni

    Tatizo sio cheti au hizo tunuku za Bachelor, Masters, CPA au PHD.... tatizo ni kuziamini na kuziona kama mali wakati hata zilikotoka hakuna hadhi hiyo....kiufupi ni majina makubwa na makaratasi yaliyopewa thamani machoni pa wajinga. Badala watafute maarifa wanatafuta kuonekana!
  14. blackberryz30

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Silaha hii wanaitumia CCM dhidi ya upinzani na imewapa ushindi 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, 2020 na mwaka huu 2025 wanakwenda kuitumia tena

    Hii vita anapigana nani na nani na kwa nini?? Na kwa nini iwe vita baada ya ccm kushindwa na isiwe akishinda?
Back
Top Bottom