Recent content by Black Thought

  1. Black Thought

    Natafuta namna ya kuua au kuwakimbiza mchwa ndani ya nyumba

    Mkuu kwanza pole na pili nimeona comments za wadau humu lakini kwakipendekeza madawa mbalimbali Lakini Kwa ufupi TU ni kuwa sio Kila dawa inafaa Mahali popote. Dawa za mchwa kwenye majengo ni kama gamma, Gladiator, Twiga, na Adrian solution. Sikuhizi hiyo Twiga na Gladiator ndio zinapatikana...
  2. Black Thought

    Namna ya kupiga hesabu ya material kwa uhakika

    Habari wakuu. Nimekua nikiona members humu wakiulizia kuhusu idadi ya material kwa nyumba. Sasa kwa ufupi ukitaka kupiga hesabu kwa uhakika unatakiwa kujua 1. urefu (running meter) wa nyumba (yani ukiikunjua nyumba kama kamba itakua na urefu gani). Hii itakusaidia kupata idadi ya tofali za...
  3. Black Thought

    Namna bora ya kujiandaa kuanza ujenzi

    Habari wakuu. Nimeona kuna post za members kutaka kujua idadi ya material ya nyumba. Sasa Ili kuanza ujenzi unatakiwa kuwa angalau na idadi ya material ya kuanza kujenga mpaka kupaua. Kisha kutoka kwenye idadi ya material utapata gharama/bei zake halisi kwa sehemu unayotaka kujenga. Nitakuja...
  4. Black Thought

    Majanga ya nyumba za hidden roof[contemporary]

    Na hii si Leakage ya kawaida ambayo wengi huizungumzia na kuiogopa, hiyo hapo ni overflow kwenye gutter (mtaro) inayokusanya maji, kitu ambacho ndio janga/disaster zaidi. Inaweza kuwa 1. gutter ni dogo sana so limezidiwa Au 2. huenda waliweka ‘down pipe’ moja tu, kitu ambacho ikitokea limeziba...
  5. Black Thought

    Hizi ni nyumba unaweza kujenga kwa gharama nafuu zaidi mwaka 2022

    Nimeuliza mpaka hatua ipi nikimaanisha imejengwa boma tu ikaezekwa na kuwekwa grill then watu wanahamia au ni mpaka finishing yote (gypsum, aluminium windows, umeme, maji, tiles n.k) maana finishing inakula pesa. Ukienda uswazi nyumba nyingi zimejengwa kwa hiyo 10-20mln na watu wanaishi lakini...
  6. Black Thought

    Sababu muhimu zinazoifanya hii kuwa Nyumba ya gharama nafuu zaidi ya vyumba vitatu

    Ilete sasa mkuu. Wewe lete yoyote ya vyumba viwili kama inavotaka na iwe kama ulivosema
  7. Black Thought

    Sababu muhimu zinazoifanya hii kuwa Nyumba ya gharama nafuu zaidi ya vyumba vitatu

    🙏🏾 Shkrani kwa maoni, ninachokukubali unakuja na maoni yenye logic. 1. Umetoa wazo zuri, ila kwa kawaida moja kati ya kazi muhimu za Septic ni kufanya “skimming” ya maji taka, na maji ya jikoni huwa yakua na skam layer ya mafuta ambayo isipoondolewa inaenda kupunguza ufanisi wa shimo kunyonya...
  8. Black Thought

    Sababu muhimu zinazoifanya hii kuwa Nyumba ya gharama nafuu zaidi ya vyumba vitatu

    🙏🏾🙏🏾Boss lengo la huu uzi ilikua ni kuja na ramani ya vyumba vitatu (ambayo wengi hupenda kujenga) ya gharama nafuu. Lakini naona wengi wanatoka kwenye lengo la uzi. Kama ni ramani nnazo nyingi saana. 🙏🏾Mkuu
  9. Black Thought

    Sababu muhimu zinazoifanya hii kuwa Nyumba ya gharama nafuu zaidi ya vyumba vitatu

    Unahisi niliposema “nyumba ya gharama nafuu” niliwalenga wenye pesa. Nimejaribu kukutumia ramani yenye privacy yakutosha kabisa na umekubali lakini ukasema wewe unataka ya vyumba viwili😂🤣🤣, inamaa pesa no tatizo. Unarudi kwenye nilichojaribu kufanya mimi. Sasa wewe tafuta mtu au kaa tulia then...
  10. Black Thought

    Sababu muhimu zinazoifanya hii kuwa Nyumba ya gharama nafuu zaidi ya vyumba vitatu

    Boss sijaelewa vizuri kuhusu dirisha kwenda kwenye emergency door lakini dining iki exchange na sittong tayari itakua mbali na jiko, na sebule (wageni wanaka muda mwingi) itakua hapo ambapo milango ya vyumba ipo exposed, yani ndio utakua umeua privacy kabisa. Kuhusu hesabu ya material ni...
  11. Black Thought

    Sababu muhimu zinazoifanya hii kuwa Nyumba ya gharama nafuu zaidi ya vyumba vitatu

    Hebu jaribu ufanye then upost hapa mkuu. Na umesema wewe unataka ya vyumba viwili, na hautaki master ishee ukuta na chumba kingine wala isi shee ukuta na sebule kwaajili ya privacy. Post hapa, kwa vyumba viwili labda uweke unecessary korido just kutenganisha kuta😁😁.
  12. Black Thought

    Sababu muhimu zinazoifanya hii kuwa Nyumba ya gharama nafuu zaidi ya vyumba vitatu

    😁😁😁 sawa eng. Wa mahaba. Yani katika vyote umeona ishu ya mahaba tu, daaahh😂😂
  13. Black Thought

    Sababu muhimu zinazoifanya hii kuwa Nyumba ya gharama nafuu zaidi ya vyumba vitatu

    Daahh😁😁. Tatizo wabongo tunapenda sana vitu “rahisi” hatupendi vitu “Halisi”. Kama bado unaona ngumu kwa maelezo niliyokupa mzee basi iache hiyo haikufai hata kidogo. Ila kama unataka kujua+kujifunza basi rudi tena kwenye point namba moja
Back
Top Bottom