Recent content by Black me

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Lowasa lazma akatwe maana ananyota ya mkasi.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    lowasa lazma akatwe tena sababu ananyota ya mkasi.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Updates kutoka Uwanja wa Mashujaa Mtwara: Mkutano wa Kampeni za mgombea Urais CCM

    ungempiga picha sio kutuletea maneno matupu halafu unataka tukuamini.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Lowasa ananyota ya upendo na mkasi, hao wanaompenda ndio watamkata kwenye sanduku la kura kwa masilah mapana ya taifa, mtu haaminiki, hajawah kukemea rushwa,mzembe amelitia taifa hasara kwa kisingzio lilikuwa agizo kutoka juu, huyu atakatwa tena iliakamsimlie na Gwajima kuwa alimshawish vibaya.
  5. B

    JamiiForums Tanzania ONYO: Makongoro Nyerere kabla hujafa hujaumbika

    hakusema sumaye mpumbavu, alisema hv hao wanaosema wanataka kuikomboa hii nchi ni wapumbavu, dunia nzima inajua hii nchi ilishakombolewa na vyama viwili vya Tanu na Asp.
  6. B

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    yatawacost wapumbafu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo aombwa kugombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo

    tena alifatwa na mbowe kushawishiwa hakuenda mwenyewe
  8. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo aombwa kugombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo

    thibitisha kauli yako.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo aombwa kugombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo

    zile billion 12 alizopewa mbowe ni ndogo?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hoja ya kuuzwa nyumba za Serikali ni uvivu wa kufikiri

    lilikuwa ni agizo kutoka juu, mwenye ushahidi aende mahakamani.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu, kumbe hata wewe ni mnafiki!

    mtu akisema ukweli anakuwa mnafiki, watu wote hawawezi kuwa na mtazamo wa aina moja, ikiwa hvyo basi tutakuwa taifa la watu wapumbavu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tumfananishe Lowassa na Ulezi: Ili muelewe CHADEMA inamaanisha nini

    uuzwaji wa hizo nyumba lilikuwa ni agizo kutoka mamlaka za juu.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli unaomuhusu Lowassa, Prof. Lipumba, Dr. Slaa, Seif na Mbowe

    wanakaa vijiweni wanasubiri mabadiliko yaje bila kufanya kazi
  14. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 IPI AZMA YA ACT-Wazalendo: ZZK Anang'ata na kupuliza

    Tutaangamia kwa kukosa maarifa, heli ukakosa utajiri lakn upate hakili japo ya kupambanua mambo.
Back
Top Bottom