Hakika upinzani ulikuwa unaenda vizuri lakini tamaa ya baadhi ya viongozi wa vyama hivyo hasa chadema wameamua kuchanganya sumu ndani ya sukari,imani ya wananchi inapungua siku baada ya siku,mtu waliemuita fisi mlafi leo kageuka kondoo mnyenyekevu lahaula!hizo ndo siasa za bongo
jaribu kujenga hoja sio kuropoka tu hizi ni page za watu makini kama huwezi jst shut up,kama huyo unayemshabikia alivyosema,kumbuka wapiga kura si wanachama wa chadema na ccm tu.tupo tusio na vyama mtuvute kwa hoja sio kukurupuka kama unavyofanya mr.bodaboda
Hapana romack mgombea wa ccm ni msafi na makini zaidi ya lowasa,tuache ushabiki,sera za utajiri kama anavyojinadi si rahisi kwa mazingira ya nchi yetu misingi ya kipato kwa watu wa chini bado duni sana,nchi itamezwa na hiyo mipapa inayomzunguka
Nimeamini kuwa siasa za africa ni za kinafiki tu,huwezi amini huyu lowasa leo wanampaka mafuta uzuri eti msafi hana dhambi! Ya ufisadi?ama kweli haya ni maajabu ya musa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.