Black chinnes
Member
- Jul 28, 2015
- 9
- 0
Hakika upinzani ulikuwa unaenda vizuri lakini tamaa ya baadhi ya viongozi wa vyama hivyo hasa chadema wameamua kuchanganya sumu ndani ya sukari,imani ya wananchi inapungua siku baada ya siku,mtu waliemuita fisi mlafi leo kageuka kondoo mnyenyekevu lahaula!hizo ndo siasa za bongo