Recent content by black chinese

  1. black chinese

    Gari nzuri ya kununua kwa Tsh 6,000,000

    Kiwanja ni 40 kwa 50 futi.. Kuna msingi wa chumba kimoja uani na eneo limebaki Ramani yake ni chumba, sebule, jiko na kibaraza
  2. black chinese

    Gari nzuri ya kununua kwa Tsh 6,000,000

    Nyumba ya kumalizia inauzwa kwa 8.5m Ipo vikindu kilometa 1 toka barabara kuu Kiwanja futi 40 kwa 40 Chumba kimoja kimekamilika madirisha, mlango, plasta, wiring na choo cha nje Kwa maelezo zaidi piga 0759 911995
  3. black chinese

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Iphone 8plus gb 64 Battery 100 Inauzwa 0715193810
  4. black chinese

    Dell laptop inauzwa

    Nimeoa mkurya kaka[emoji22]
  5. black chinese

    Lg tv 32 inauzwa

    Ina mistari ila inapiga kazi Ya kubadilisha kioo baadae 150k Inapungua kidogo 0715 193 810
  6. black chinese

    Computer4Sale HP laptop inauzwa

    Ram 5 Rom 250 Portable and slim 11.5 Chaji saa 1:30 Kwa 225k Inapungua kidogo 0715 193 810
  7. black chinese

    Dell laptop inauzwa

    Imevunjika kioo, naitumia kama cpu Core i5 Ram 8 Ssd 128 Keyboard backlight Chaji masaa 4 Bei 235k... Inapungua kidogo 0715 193 810
  8. black chinese

    House4Sale Pagale linauzwa

    Hapana siwezi kushangaa.. mi ni mmoja wapo wa waliobahatika kushiriki zoezi la sensa kwa ukamilifu, najua kwa jinsi gani idadi ya watanzania wenye changamoto ya afya ya akili ilivyo kubwa na hata idadi ya wanaume wanaohamia upande wa pili wa jinsia!.. any way.. bei ni 15m tu
  9. black chinese

    House4Sale Pagale linauzwa

    Vyumba vitatu, kimoja masta Limezungushiwa uzio wa matofali Eneo ni kubwa Umeme mlangoni Liko kwenye barabara ya mtaa Mita 500 kutoka barabara kuu inayoelekea Mtwara Lipo Mkuranga Kwa maelezo zaidi piga 0715 193 810
  10. black chinese

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    LG 32' Ina mistari michache Iko Mkuranga 250k 0715 193 810
  11. black chinese

    Sabaya aangua kilio mahakamani, kesi yaahirishwa

    Jamani serikali iache kumtesa kwa makusudi kijana wa watu, kama selo kashakaa sana.. mateso aliypata yanatosha, ifike mahali mahakama tukufu imuhukumu kifo anyongwe apumzike kijana wa watu..
  12. black chinese

    Hivi haya majina ya vitu vipya kwa Kiswahili nani huwa anatunga?

    Barabara.. asiyetaka aende akatabaruku akalale..
Back
Top Bottom