Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na wazee wa Jimbo la Bumbuli, Mkoani Tanga, wameibuka na ahadi ya kumchukulia fomu ya kugombea ubunge kwa Mbunge wao wa sasa, January Makamba kwa kutumia fedha zao binafsi kama ishara ya kutambua mchango wake mkubwa katika maendeleo ya jimbo hilo kwa...
JOHN ROBERT MAITLAND DHIDI YA JAMHURI
Mshtakiwa alishtakiwa kwa kosa la kuingia na kuwepo kinyume cha sheria ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mahakama ya Wilaya Bukoba, Kavera.
Alikutwa na hatia na kuhukumiwa kulipa faini ya Shilingi 80,000 za Kitanzania au kifungo cha miaka...
Kwa majibu yanavyoonesha ni kama una shida kwenye blood circulation lakini picha pia inaonekana haileweki vizuri. Nakushauri ufanye CT Scan kuangalia blood flow yako kama iko sawa. Kama uko Dar nenda JKCI
Nimefika kufanyiwa makadirio ya kodi katika Ofisi za TRA Tanzania Mafinga lakini tangu asubuhi wahudumu wanajizungusha tu mara huku mara kule, mara mtandao uko chini mara wahudumu wengine wako kuhudumia nje ya ofisi hivyo tuendelee kusubiri.
Hii hali ni kero sana nimeuliza wateja wengine hapa...
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Ireland (DPC) imeipiga faini ya takriban Tsh. Bilioni 273 kampuni ya META baada ya kubainika 'Passwords' za Watumiaji wa Facebook milioni 600 wa Facebook zilivujishwa kwa Wafanyakazi wa ndani.
Kwa mujibu wa taarifa, META haikutekeleza hatua madhubuti za...
Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa Septemba 29 kila mwaka tangu ilipoanzishwa na Shirikisho la Moyo Duniani (WHF) kwa ushirikiano na Shirika la Afya Duniani (WHO) mwaka 1999.
-
Siku hii hulenga kuongeza uelewa kwa Watu kushirikia katika kuzuia, kupima afya mara kwa mara na kubadili mtindo wa...
Watu watatu wakiwemo Mhasibu na Ofisa Tehama wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania (SDA), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka manane, likiwamo la kutakatisha fedha na wizi wa Sh717 milioni mali ya kanisa hilo.
Washitakiwa hao ni ofisa Tehema...
"Shambulio dhidi yangu (shambulio la Tundu Lissu kupigwa risasi) limetokea katikati ya majengo ya serikali wanayokaa Mawaziri, Naibu Spika Tulika akson kwa wakati ule (sasa ni Spika wa Bunge), Waziri Harrison Mwakyembe (aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo), Waziri wa Nishati wa...
Rais William Ruto, amesema amekuwa akipokea malalamiko kutoka kwa Watoa Huduma za Simu nchini humo tangu Serikali iliporuhusu uwekezaji wa kampuni ya #Starlink inayotoa huduma za Intaneti kwa njia ya Setilaiti.
Kwa mujibu wa Mtandao wa Citizen Digital, Septemba 23, 2024, imeelezwa kuwa...
Wewe bwana umejichanganya kuoa kambale unataka kila mtu aone ndoa mbaya! Pambana na hali yako wengine tunakula maisha na ndoa zetu miaka na miaka hakuna shida
Siku moja baada ya Jeshi la Polisi kuzima maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yaliyopangwa kufanyika jijini Dar es Salaam Septemba 23, 2024, baadhi ya askari wameonekana wakizingira ofisi ya makao makuu ya chama hicho Mikocheni.
Mwandishi wa Mwananchi aliyefika katika...
Watu watatu wamekutwa wamefariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana eneo la msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel, uliopo Kijiji cha Sindeni wilayani Handeni mkoani Tanga.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 24, 2024 kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius...
WATU watano wamepandishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakikabiliwa na mashtaka 23 likiwemo la kuongoza genge la uhalifu na wizi wa fedha kiasi cha Sh 3,600,000.
Washtakiwa katika kesi hiyo ni Wangina Chacha(21), Erick Mushi(28), Shabani Msuya(36), Baraka Lunanja (32) na Kassim...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.