Mkuu watakuwa wamebadilisha utaratibu wa kuchagua mgombea, ambapo kwa sasa watakuwa wamepiga kura wajumbe wa siasa wa wilaya wakati 2010 walipiga kura wanaccm wote waliokuwa na Kadi.
nadhani kuna haja ya viongoz wote wa chadema kuanzia ngazi ya kata hadi mkoa waanze kazi ya kukitangaza chama maeneo walipo kuliko kusubiri viongoz wa kitaifa waje ndo nao wajiunge kwenye msafara. Mi nakumbuka wakati viongozi walipokuja mbeya last year,Dr. slaa alipoenda Chunya aliwauliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.