Recent content by bksak

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ndoa Huwa Ina Stage 4

    Wewe ni mndani; umetulia huna papara. bila shaka ni mwandishi na ni mwanafalsfa.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nimeoa mwanamke mkali naomba msaada nifanyaje

    Pole sana! Wanawake wengi ndivyo walivyo, ni walemavu kwa hiyo ulioa mlemavu, hivyo unatakiwa kuiishi hali hiyo mpaka kifo, huo ni ulemavu sawa tu na mtu akiwa taahira au kiwete huwezi kusema huyu ni kiwete sasa namwacha; jitahidi kujifanyia mambo yako muhimu maadam humbebi mgongoni muda mwingi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania kwa wanaume wenzangu mnaoambiwa I LOVE YOU TOO

    Mbona wnafanya makusudi unadhani ukiwaambia wajirekebishe watakuelewa; acha kupoteza wakati wako mwanaume ni hela tu na mwanamke ni uzuri tu, haya siyo yangu ni tafiti zinaonesha hivyo i.e wealth and man's generosity attracts women! zinduka
  4. B

    JamiiForums Tanzania Joyce Ndalichako Amechemka, Ajipange!!!

    Nani aliyefanya vizuri katika eneo lake la kazi, wewe?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ualimu umenichosha

    Kashughulsihe na kilimo cha umwagiliaji utakuwa tajiri in no time halafu utaanzisha chuo cha uandishi wa habari.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini lecturers watapunguza mamlaka ya kuamua mwanafunzi gani afaulu na yupi afeli

    Ni hapo tutakapoacha kutegemea maamzi ya kitaalam, ndipo hata madaktari wa hospitali nao wtapunguza kuamua nani afe na nani asife.
Back
Top Bottom