Recent content by BK62

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ni faida gani ataipata Mungu kwa kuwachoma moto binadamu siku ya mwisho?

    Dini siyo zetu waafirika. Zimeletwa na wazungu na waarabu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ni faida gani ataipata Mungu kwa kuwachoma moto binadamu siku ya mwisho?

    [emoji106][emoji106]
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ventilation on MCC move is primed on wrong assumptions

    Jamani hata Ulaya hari ni ngumu. Washikiriwa bango na wanachi wao. Kukata misaada inasemwa sana huku. Kwahiyo siyo ajabu ukisikiya nchi nyingi zinjitowa. Dunia imebadilika inabidi tubuni mbinu za kujisaidiya wenyewe. " They need us as we need them".
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naipenda Nchi Yangu lakini Siwezi Kuunga Mkono Mambo ya Kijinga Mkono kwa Hoja ya Uzalendo

    Uko ulaya wanalipa kodi kwa kila kitu. Ndio maana wanaendelea. Kwahiyo siyo hija mbaya.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

    Wote ni wa tanzania. Ndio muhimu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon

    Race Is On To Find A Successor To U.N. Secretary-General Ban Ki-moon
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nyerere alifariki mwaka 1999, mwaka uliofuata mchanga wa dhahabu ukaanza kuuzwa Japan na China

    Nimekupata mkuu philipo.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nyerere alifariki mwaka 1999, mwaka uliofuata mchanga wa dhahabu ukaanza kuuzwa Japan na China

    Mkuu kabla ujaandika ujuwe jinsi machimbo yanavyo fan ya kazi. Unaitaji tone 3.3 za ore kapata ounce moja ya dhahabu. Kwa bei ya us$800 per ounce Unaitaji tone nyingi ku breake even. Je kuna ukweli katikati taarifa yako. Na bado hapo dhahabu uliyoipata siyo pure.
  9. B

    JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

    Civil I do rail and roads
  10. B

    JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

    I am a civil draftsman not an architect
  11. B

    JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

    serio I am civil draftsman
  12. B

    JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

    Sawa kabisa mkuu. Nikipata muda nitakuchongeya nyingine. Kuzingatiya maombi yako. Nipe siku mbili tatu.
  13. B

    JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

    Michoro nimechora mwenyewe. Nilikuwa nampa mfano. Bahati mbaya ni mtindo ya ulaya, kusudi ya kuweka sebule nyuma ni kuweza kuaona garden. Kwenye Kitchen yard kuna ukuta.
  14. B

    JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

    Nipe email yako
Back
Top Bottom