Recent content by bjzeah

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

    Mimi ninayemshangaa ni waziri wa nishati na madini prof. sospeter muhongo yeye ndo anatumia baadhi ya watu kulazimisha kujisafisha. si jambo zuri kidogo yule prof. anahitaji kujitambua kuwa amerisababishia. hasara taifa kwa wizi huo na yeye amenukuliwa akitetea na kuratibu vikao vya kuidhinisha...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

    Mimi naamini kama serikali ni ya haki kweli lazima raisi atoe nafasi ya hawa watu kufikishwa mahakamani ili wajibu tuhuma zinazowakabili. Mimi naamin kama kweli raisi wetu anataka tuone utumishi wake kipimo kiko kwenye suala hili la watuhumiwa wa ESCROW vinginevyo hakuna kiongozi anayaweza...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Who to change the situation? Opinions of bad four four results and tanzania education?

    Dear Colleagues.Hi to you alljzeahbujaga@gmail.com It is a responsibility of everyone of us for any true citizen to desire and take action up on a bad situation in our state. I have come to realize that the poor perfomance of the form students results in the last year 2012 has been contributed...
Back
Top Bottom