Recent content by BJB

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ajali Ruvuma: Basi la kampuni ya New Force limepata ajali na kuua wawili

    sasa hapa feo anahusika na nn wakati lililoanguka ni newforce na feo ndo waliowasaidia hao majeruhi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati walalamikia vurugu za mchina Songea

    sumatra ndio wapanga ratiba wanajua kila kitu mjomba na ukumbuke newforce alikuja kuuza magari na spea kwa wazawa c kusafirisha abiria
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati walalamikia vurugu za mchina Songea

    sumtra ndio wapanga ratiba wanajua kila kitu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati walalamikia vurugu za mchina Songea

    sumatra wana majibu yote wao ndio wapanga hizo taratibu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati walalamikia vurugu za mchina Songea

    NINACHOKIJUA MIMI TOKA NDANI KABISA YA HUU UGOMVI ni kwamba super feo ana time table ya saa 6:00am na 6:10am kutoka songea na gari zake zote za dsm zipo ndani ya muda huo wakati huo huo mbeya na iringa na dom ana gari za saa 6:00am na 6:20am katika hali hii super feo inabidi atoke saa kwanza...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya haya mabasi ya kichina yutong na zhong tong

    KUNA TOFAUTI GANI KATI YA HAYA MABASI YA KICHINA ZHONGTONG NA YUTONG MAANA NAONA KAMA SOKO LA YUTONG LINAPOTEA TARATIBU YUTONG ZHONG TONG
  7. B

    JamiiForums Tanzania Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    pole mdau tunafanyia kazi malalamiko yako.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    tunalifanyia kazi ilo mkuu.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    nashukuru mdau najitahidi kumjibu kila mtu sababu ni sehemu ya jukumu langu as pr zen matangazo yaliyopo hapa ofcn songea tumeweka ili kuondoa usumbufu asubuhi kwakua huu ni msimu wa mavuno na tumekuwa idadi kubwa ya mizigo inayokuja asbh wakat gari zinakua zmeshajaa na matokeo yake utaambiwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    walinzi tunao mkuu baada ya hili kutokea tulitaka kuweka ulinzi zaidi kwa kuweka uzio kwenye eneo letu tukapewa barua kuwa mwezi wa nane tunatakiwa kuhama kwenda msamala tunashukuru kwa maoni yako mkuu tunafanyia kazi ili hili lisijitokeze tena.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    tunajaribu kujibu kero ya kila mmoja ili twende sawa shukran mdau
  12. B

    JamiiForums Tanzania Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    jaribu kutembelea stend ya mabasi songea pindi basi za dsm zinapoingia ucku utajua jinsi hali ya ulinzi inavyokua ngumu kutona na mazingira ya stendi yenyewe yalivyo.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    ndugu cjajua unazungumzia gari zp znapoingia za mby na iringa au dsm ila kama ni za dsm huwa hatutoi mzigo ucku na kuna tangazo la kuonesha muda wa mwisho kuchukua mzigo ktk ofic zetu na gari za dsm zinapoingia usitegemee kondakta atakupa mzigo hata kama upo hii inatokana na taratibu zetu mpaka...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    czan kama anahusika ktk kampuni hii hizo ni fununu tu ambazo hazna ukwel
  15. B

    JamiiForums Tanzania Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    anae toa majibu ya kejel haucki na kampuni ya super feo yeye ni mdau wetu tu kama una kero au maoni juu ya kampuni yetu tafadhari piga cmu hizi 0754 651960,0658 228384,0784 350523 na 0755 198935.
Back
Top Bottom