Recent content by bizzle11

  1. B

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

    Sema ingekuwa Yanga ungekuwa mpira baasha
  2. B

    JamiiForums Tanzania Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

    Kwahiyo tffa nao hajui maana ishu tu ya kuingia finally yanga yakaja mafile ya simba kuingia finally 1993 hili la ligi vipi mbona wamekaa kimya
  3. B

    JamiiForums Tanzania Top 5 Greatest Players Of All Time!

    Kwani Ronaldhino kuna kombe gani hajachukua akiwa barca na timu ya taifa kwa mchango wake?
  4. B

    JamiiForums Tanzania LIVE: YANGA SC Vs IHEFU FC

    Kwahiyo Dotmund amechukua ubingwa mara nyingi kuliko munich sio?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tunamsifu Bernard Morrison, ila kwa 75% hana Msaada kwa Simba SC na ni Mzigo, lakini kwa 25% ndiyo huwa anatusaidia

    Sure tena akaandika na kwenye page yake kwamba anajilinda asije kupigwa uviko19 .Kweli alishajiona mess[emoji16]
  6. B

    JamiiForums Tanzania Bingwa wa UEFA msimu huu anaweza kuwa Liverpool au Bayern Munchen

    Soma vizuri anachoongelea jamaa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Bingwa wa UEFA msimu huu anaweza kuwa Liverpool au Bayern Munchen

    BINGWA LIVERPOOL NO DOUBT!!!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa aliwashauri Zitto na Mbowe wakubaliane kuachiana Uenyekiti

    Hivi jamaa sasahivi cheo chake huwa kinagombewa huko alipo[emoji16]
  9. B

    JamiiForums Tanzania Miika Mwamba vs. Pfunk Majani: Nani alikuwa na biti kali?

    Mika mwamba
  10. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

    Hapo hakuna msanii
  11. B

    JamiiForums Tanzania Makonda ashtakiwa kwa Bashiru, hakika wameamua kumzuia Paul

    Jamaa alivyoona mshikaji katumbuliwa akajua ndio basi tena hata ccm hawamuhitaji [emoji16]
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hatimaye Ummy Mwalimu achukua fomu ya kugombea Ubunge Tanga Mjini kupitia CCM

    Hivi mwanafa anagombea jimbo gani?
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima kugombea ubunge Kibiblia atafakari upya kama mtumishi wa Mungu

    Maadili ya kutafuna kondoo wako sio.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Dar es Salaam ni kama mikoa mingine sasa

    Dar ndio New york ya tz
Back
Top Bottom