Wazo zuri lakini sio kwa Tanzania nchi haiko stable kabisa biashara ya Leo sio ya kesho vitu vinabadilika upesi sana, sheria ziko chini ya kabati anytime zinabadilishwa na mtu mmoja tu kwa mawazo yake binafsi.
Bwana Paskali watu wanamuelewa mkuu ndio maana hawakubaliani nae, kwanza kuelimisha wananchi siukweli elimu nyingi iliyotolewa haina msingi unawaambia wavae barakoa wakati uwafundishi hata jinsi ya kuivaa na kuivua barakoa sawasawa, na izo barakoa nyingi ni chini ya kiwango so maambukizi yako...
Mjomba hii ndio Sayansi mnayo ielewa nyinyi tu, hii kitu haingii kichwani TZ mapato yake haiwezi hata kulipa mishahara sasa mnaposema mnagharamia mradi wa billions $US it doesn’t add up ni uongo ndio maana mnafukuza CAG, vitu havipitishwi bungeni ni uongo. Time will tell mbivu na mbovu tutajua...
Like I said you don’t have any idea what’s going on, Commons trying to deny people’s voice and reaction you will see in next election people will punish them.
Sio kweli huyu jamaa alichukuliwa na Bear akamficha kusudi amle siku nyingine, kwa bahati nzuri watu walipita huko wakamuona nadhani alimvunja mgongo niliiona gazetini.
Nadhani ungebadilisha heading na kusema “Tanzania kuna ugonjwa wa kusema uongo” halafu wewe na hao wenzako waliokutuma ndio mtakuwa wakwanza maana mnadhani watu wote ni mambumbumbu. Watu wako kimya tu uwezi ukamjibu mjinga kila kitu.
Saa nyingine nawazaga ivi kuna watu wengine are so f**kn dumb so stupid au ushamba uliopitiliza. Mtu kavaa heleni kwa mapenzi yake kama wewe una ushujaa wa kuvaa heleni sinyamaza tu who da f**k are you kujaji. Na nani kasema heleni wanavaa wanawake tu na kuvaa suruali ni wanaume tu. Wewe ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.