Ndani ya kaburi kwa siku 2

decomm

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
726
657
Tahadhari, USIFUNGUE VIDEO KAMA HUWEZI VUMILIA PICHA ZA KUTISHA

Nimeondoa baadhi ya maandishi, huenda nilipokea taarifa "iliyowekwa chumvi"

Update

_____
Hata hivyo tujitathmini, tutende yaliyo mema. Tuache kufanyiana ubaya, sisi ni "bure kabisa"
 
Huyo cha mtoto sana

Mi nlkufa , nkafufuka baada ya siku mbili

Hafu nkafa sikufufuka tena

Hafu huko nlkofia, nlkoenda nakafa tena !

Yaan ukifa na kule , huwa hatari sana

All nashukuru huku nilipo , ambako nimefika jana unakufa baada ya siku nne , kwa hiyo jumamosi nakufa tena

"jifunze kuleta chai ya moto kama hii yangu !! "
 
Yaani mtu alipita pembeni ya kaburi akasikia kelele toka kaburini!
Duuuh, hata haiingii akilini.
Mtu kafukiwa na kilo kadhaa za udongo, sauti ingesikika vipi nje ya kaburi?
 
Tahadhari, USIFUNGUE VIDEO KAMA HUWEZI VUMILIA PICHA ZA KUTISHA.
____
Inasemekana alikufa, kisha akazikwa, akalala kaburini siku mbili...

Kumbe alikuwa hajafa...
Huenda alizimia...
Au moyo ulisimama kwa muda.

Siku mbili baada ya kuzikwa, mtu alipita pembeni ya Kaburi...
akasikia kelele kubwa anaomba msaada...
jamaa akachimbua kaburi akamtoa...
____
Basi hiyo hali yake baada ya siku 2 tu za kaburini.

Mytake:-
Tujitathmini, tutende yaliyo mema.
View attachment 1150839

Sio kweli huyu jamaa alichukuliwa na Bear akamficha kusudi amle siku nyingine, kwa bahati nzuri watu walipita huko wakamuona nadhani alimvunja mgongo niliiona gazetini.
 
Back
Top Bottom