Recent content by bizimana ntungamo

  1. bizimana ntungamo

    Mrejesho: Nimuoe nani kati ya shemeji yangu na mchepuko?

    Wakuu salaam zenu, Nimebarikiwa sana kutokana michango yenu ya mawazo kuhusu suala hili ambalo karibu wote mlishauri nimuoe mdogo wa mke wangu. Nilipata matatizo ya kumpoteza mwenzangu miaka minne iliyopita, nimeachwa na watoto wadogo wanaohitaji uangalizi wa karibu, yupo mdogo wa mke wangu...
  2. bizimana ntungamo

    Kati ya mdogo wa marehemu mke wangu na mchepuko wangu nimuoe nani?

    Wakuu, Bado sijapona rohoni vizuri kwa kuondokewa na mke wangu miaka minne iliyopita kwa ajali mbaya ya Gari. Kwa kweli kama si wife sina hakika kama ningekua nimefika hapa nilipo, hadi anaondoka tuna nyumba nne maeneo tofauti ambazo tumekua tukikusanya kodi ya 15 million annually kwa nyumba...
  3. bizimana ntungamo

    Pedi za wanawake wakati wa hedhi

    Hivi ukawa wameshamaliza kugawana majimbo?
  4. bizimana ntungamo

    Nimekamatika kwa penzi la PS wangu, Ushauri wenu please

    Mbavu za Mbwa Hivi lowasa atafanikiwa kweli?
  5. bizimana ntungamo

    Nahisi simridhishi katika mapenzi

    Fanya revision ya masomo yako kijana shule zikifunguliwa uwe vizuri
  6. bizimana ntungamo

    Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

    Inapaswa iwe siku nyingine mbali na siku hiyo vinginevyo ntaona kama ananiuzia
  7. bizimana ntungamo

    Kwanini ipo hivi?

    Kumbe hili jukwaa huwa kuna watoto wengi sana, sikuwahi kufahamu
  8. bizimana ntungamo

    Kwanini ipo hivi?

    Hadi sasa pm take itakua imejaa meseji nyingi za wateja
  9. bizimana ntungamo

    Kwanini ipo hivi?

    Kumbe huyu ni mwanafunzi?
  10. bizimana ntungamo

    Kwanini ipo hivi?

    Du hii hatari
  11. bizimana ntungamo

    Kwanini ipo hivi?

    Labda umeshatumika sana
Back
Top Bottom