kwanza kabisa naomba mtambue ushoga sio hali ya hisia kimaumbile. kiroho hizi ni ROHO au mapepo yanayoshughulika na hisia za watu.
Ndio maana waathirika hawa wanaweza sema ni maumbile YAO ya kuzaliwa, au hisia ni vile hawajui elimu ya kiroho na majeshi ya ulimwengu wa kiroho wa SHETANI...
nina ushuhuda wa mashoga wanne waliombewa na Nabii na pepo zikawatoka. na waliacha jumla. ni pepo aliemtulivu anaeongoza hisia tu. so you need to see a powerfull man of God. sio tu man of God.
kwa MIAKA 15 ya kuishi na wafanyakazi 6, watano ni waislamu. wote walikuwa na majini. wengine watatu waliniambia walitibiwa na kusomewa yakaondoka. usiku baada ya chakula mimi na mke na watoto hisali pamoja. wao huwa chumbani. cha ajabu tukiwa katika maombi hulipukwa majini. mimi huwaombea na...
kwanza kabisa acha kupotosha wewe jamaa, misingi ya dini ya kikristo sio harusi!! bari ni kristo yesu ndio msingi wa dini. kutaja ndoa na harusi sio misingi.
kwa KATIBA hii, utanyimwa ushirikiano na hawa jamaa. mara utakataliwa na hakimu ili mladi tu wao ndio wanaohusika. kwani ujifunzi wanavyukiuka KATIBA kwa MIKUTANO ya VYAMA vya upinzani?
kwa nchi mbalimbali lockdown ya kwanza ilitumika kufungia watu ndani ili kutoa nafasi kwa wafungaji wa mitambo ya 5G ya internet. ukizingatia ndio inayodaiwa kuwa chanzo cha gonjwa hili. Utakuja kuona tz itaingia tatizo hili in deep mara tu baada ya kuistal au ku up-grade 5G internet. nchi...
kimsingi watu masikini hawawezi kulipia huduma za jela private, so kubambikiwa sio inshu nzito ikiwa tu mifumo itawekewa uwazi na sheria za kudhibiti ikiwa ni pamoja na adhabu kwa wabambikaji,police husika na hakimu.
kubambikiwa kesi ni mjadala unaoweza kujitegemea tofauti!. na wakibambikiwa wote wanaishia gereza hizihizi. swala ni kubadili hali ilivyo katika gereza zetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.