Mwamba ngoma huvutia kwake, na msipobadilika mtapiga kelele sana na kutumika sana wakati wanaowatumia mwisho wa cku wanawaacha na kutafuta wake wenye hekima na busara wakawaowa na wanaishi. Hakuna cha mume wala mke, hiyo dhambi ipo kote. Mwanamke mmoja kwa upumbavu wake kaachwa basii kila kona...
Kama vile mimi ndiye nmekutuma upost hyo kitu. Hivi ulikuwa akilini mwangu eti. Tena wengine akija mgeni ndugu wa mume ndiye ataanza kufua mpaka atakapoondoka. Hawa mimi nawaita mashetani? Hebu jiulize mwanamke amempenda bwana lakini hajali nguo za huyo bwana zinafulia je? Zinanyoishwaje nk...
Sioni sababu ya kutowafukuza askari maana wakirudi mtaani hawatakuwa juu ya sheria na kuna sheria ambayo wao inawabana zaidi wakishiliki katika huo ujambazi na uporaji au tukio lolote la uvunjifu wa amani. Na ni kwanini tuwe na nchi ambayo baadhi ya watu tunawainua juu ya sheria na kuwaepusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.