Recent content by bitjay

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya amuokoa Diwani,wa kata ya Terrat asipigwe na Wananchi wenye Hasira!

    Achukuliwe hatua za kisheria ikithibitishwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Polisi waikimbia masasi baada ya kukosa posho.

    Ivi kwnn askar wasigome kama walivyofanya wa south africa mpka serikali ikasurrender na kuwapa wanachokitaka!!! Askar wana2mika kuwalinda wakubwa 2 af wenyewe wakibak na maisha dunii,, polen cna
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tusitumie tena "Division Zero" kwenye matokeo ya Elimu ya Sekondari...

    Excellent mtoa mada, binafsi nina kaka yangu ambaye alipata iyo div-0 lakin alikuwa na uwezo na kipaji kikubwa kwenye uchoraji.. Alipelekwa chuo cha sanaa ya uchoraji na kufanya vizuri cna kwa sasa anakampuni ya uchoraji yenye mafanikio sana akiwapita kwa mbali sana kiuchumi na kiufanisi wa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    2sidandie tren kwa mbele,, subirin uchunguz wa kipelelezi upite hapo,,, waweza kuta ni vita ya kimaslah kati ya dheheb moja dhidi ya lingine ndan yenu wenyew wakristo...waislm wanatajwa kam gelesha 2 il kuwapotza uelekeo.... TAFAKaRI
  5. B

    JamiiForums Tanzania jifunze kuwaita polisi wa tanzania

    Chezea mwera weye!!!!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Inbox sms za madem kwenye cm:

    E bhana umejuaje???
  7. B

    JamiiForums Tanzania Chezeaaa MMAKONDE weyeeeeeee......

    Duh,, teh
Back
Top Bottom