Ni kweli kabisa, na hasa naona sasa ameishiwa na issues ndiyo analazimisha kuziunga unga na kushambulia watu binafsi.
Huyo Museveni mwenyewe mke wake ni Minister, mtoto wake ni mkuu wa jeshi na yule ndugu yake ana cheo fulani hivi serikalini, halafu amseme Samia! - viongozi wa Afrika (na hata...
kawaida ya kuanguka inakuwa kivipi? mbona munakuza mambo bila ya sababu?
Binadamu yo yote anaweza kuanguka kutokana na machofu, maradhi au matukio mengine.
Mwenyezi Mungu amegawa akili bila ya kutazama asili ya ukoo. Ndiyo mana unakuta kuna hata watoto wa wafalme lakini hawana akili licha ya kuwa na facilities na upendeleo wa kifedha.
Kwa hivyo mimi naona hiyo ni dhana tu ya kujipa moyo watoto wa kimaskini, nani amewaona hao wazazi wa private...
loh mshamba gani wewe? unajua kizungu cha kufanyia search kwenye chatgpt? Unajua tafauti baina ya search na research? Mimi nimesema search sijasema research, haya ni maneno mawili tafauti.
Jamani jifunzeni kiingereza musiaibike angalau kwa maneno madogo madogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.