Recent content by bitemi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kijana wangu anamaliza degree nchini Malaysia. Ushauri naomba

    Kama wakimgomea basi baba ajiajiri while anasoma open maana elimu yetu kwa sasa masharti yake yameaffect vijana wengi aswa walosoma nje its a deserster nyingine iyoo.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kijana wangu anamaliza degree nchini Malaysia. Ushauri naomba

    Mwambie ajifunze ujasiliamali baba Bongo ajira ni kama unatafuta nafasi ya scholarship
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye miss Tanzania ajinyakulia gari ya aina yake

    Watanzania tumekuwa matapeli kwa kweli uyu binti alipewa ahadi ya New IST sasa gari sijui nani kauchomoa kwake kuficha aibu ya ahadi .kwa kweli ulosema ni wakati wa zoa zoa sasa Edward umekuwa zoa zoa .uwiiiiiiii tuwe na heshima kidogo binti kajitoa sana mmmmmm hashimu hapo kachemka
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mpangaji aliyehamia anaanika chupi zake nje ananitesa

    Ha ha unateseka nini.zina Ukungu,Nyeupe Sana,bikini au coz hayo mateso unayo pata siyaelewi au unataka mwenzio apate fungas ???
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

    Lete document kabisa no longo longo
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

    Ha ha no Research no Right to speak
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hii sio kanda maalum, ni Ethiopia! Mwanamke kuomba kupigwa viboko kuonyesha upendo kwa mume

    Kweli hi ni violence bila kujitambua isee nooo Mungu inusuru Africa
Back
Top Bottom