Recent content by Bitcoin2

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Utaratibu wa kuomba Passport ya kusafiria

    Unaomba passport mtandaoni na una upload documents muhimu mtandaoni, una download copy ya application yako ndo unaenda nayo uhamiaji baada ya kulipia 150k kwa control namba na kuprinti kopi yanaipeleka immigration, utafanyiwa interview na kupigwa picha na kuchukuliwa alama za vidole. Baada ya...
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora nirudi kwa wazazi wangu wanifunze upya

    Ngoja na mm niweke Kambi hapa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye Ujuzi na uelewa kuhusu policy za warranty za electronic devices

    Angalia umeme wako hapo home
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Dhambi tangu lini ?? Kula mkuu achana na upotoshaji, kikubwa uzingatie usalama
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuna wengine hatujui tulipokosea

    Shusha dada shusha
  6. B

    JamiiForums Tanzania Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

    Ili mtu atengeneze hofu, utii na uoga kwa subordinates wake lazima afanye mwenyew kitendo Cha kikatili ili akitoa maagizo watekeleze bila kuhoji. Mm nakuelewa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

    Unatengenezaje hofu, utii , na kuogopwa?? Ni kutenda jambo la kikatili wewe mwenyew sio kuagiza. Nadhani nmeeleweka
  8. B

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kubadilisha jina kwenye passport?

    First step ni deed poll, kwa registrar general ili akane majina hayo. Renounce those names then file a deed poll
  9. B

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kubadilisha jina kwenye passport?

    Fingerprints zake tayari zipo NIDA na immigration kwahiyo hawez kujiandikisha tu. Anapaswa aende afanye Deed poll kwanza
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Asee Mzee mpaka ubembelezwe ndo uendelee
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Mzee shusha Episode, ulisema mpaka saa saba , tumeshaweka Kambi hapa. Tunakula BIA huku tunashuka na stori yako, acha uzembe
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ninunue brand gani ya TV kati ya hizi?

    Wasikuzingue na hizo brand names, electronics hazitabiliki, mm Nina Star X nliwafungia watoto wañgu wanatumia karibia masaa 24 Kila cku wakiwepo huu ni mwaka wa 10 na haijapata itilafu na kama mpya na picha HD, wanaangalia TV, Wana connect PS na Iko vzuri, wenzangu walionunua hizo brand cjui...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kama mbinguni Kuna utakatifu na hakuna dhambi Ibilisi(Shetani) alidanganywa na nani Hadi akaasi?

    Yeye ndio anaeleta Mwanga na pia Giza,
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kama mbinguni Kuna utakatifu na hakuna dhambi Ibilisi(Shetani) alidanganywa na nani Hadi akaasi?

    Kwenye Torah Mungu Hana mpinzani yaani Mungu Yuko peke yake hakuna huyo shetani, dini zlitengeneza shetani ili kupata wa kuangushia lawama. Utaniuliza Sasa nani analeta na kusababisha mambo mabaya. Nenda ukasome biblia Isaiah 45:7 . Naomba kuwasilisha, Glory be to God the Creator of the universe.
Back
Top Bottom