Recent content by BISLETT STADION

  1. BISLETT STADION

    A blessing of Love and Faith

    Dear wife to be, "May this year 2026 bring countless blessings to both of us, with Allah's grace. I believe that with faith and love, nothing is impossible. In the journey of life, I hope that we can find joy together, building a relationship founded on trust, care, and mutual respect. If...
  2. BISLETT STADION

    Anatafutwa mwanamke wa kuolewa

    Hao hapana.
  3. BISLETT STADION

    Anatafutwa mwanamke wa kuolewa

    Kwa hiyo wewe una maana gani kusema hivyo? Jiheshimu basiii, toka lini mwanaume anaolewa?
  4. BISLETT STADION

    Anatafutwa mwanamke wa kuolewa

    Anatafutwa mwanamke anayetaka kuolewa mwenye sifa zufuatazo, Awe na miaka kuanzia 27 mwisho miaka 35. ASIWE NA MTOTO. ASIWE NA ANATUMIA DAWA YA KUFUBAZA. Anaweza akawa nesi, mwalimu, banker, akauntanti, auditor, maketia, afisa habari, mchumi, mwanasheria, afisa ugavi, mkutubi, police...
  5. BISLETT STADION

    Je, ni sawa kufanya hivi kwenye mahusiano?

    Njoo inbox, tuyajenge unipeee nionje utamu wa Madam teacher 😘
  6. BISLETT STADION

    Mchumba - Mwanamke baadae awe "MKE".

    Njoo Mke wangu mpenzi mtarajiwa wala usiogope maana NAFASI bado ipo wazi kwa 100%
  7. BISLETT STADION

    Haya mambo ni magumu. Yamenifika kooni naomba ushauri

    She will come back later after your success my dear, for now just continue to focus on your career but with time she will
  8. BISLETT STADION

    Mchumba - Mwanamke baadae awe "MKE".

    Wapo tena wengi na wana heshima zao na kazi zao za maana tu and most of them are graduates / Bachelor degree holder and above. After success in Education and their career now is a right time for them to get married. Nawakaribisha kwa wenye upendo wa kweli na wenye uhitaji kama wangu.
  9. BISLETT STADION

    Mchumba - Mwanamke baadae awe "MKE".

    Wapo wa 30 to 36 or above na hawana watoto na bado wapo very good and well focused. Naamini humu ndani nitapata mwanamke sahihi na nitadumu nae vizuri. HAYO MENGINE KAMA YAPO TUTAYAONGEA HUKO PM AKIJA. ASANTE SANA 🙏
  10. BISLETT STADION

    Mchumba - Mwanamke baadae awe "MKE".

    Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu. Endapo wewe ni mwanamke na una uhitaji wa mume basi nakufahamisha kuwa 'tatizo lako limepata suluhisho'. Mimi nina uhitaji wa mwanamke ambaye kwa kuanzia awe rafiki/Mchumba lakini baada ya kufahamiana zaidi kitabia na hulka baina yetu tukiridhiana basi...
  11. BISLETT STADION

    JF Chit: Chat hapa upate mchumba

    Jamani mwenzio natafuta mke wa kuoa, awe private sector or public sector. Elimu ianzie Bachelor degree kwenda juu na sio chini ya hapo. Mengine tutayajadili pm Nipo very serious na hili jambo
  12. BISLETT STADION

    JF Chit: Mchezo wa kutafuta mchumba

    Jamani mwenzio natafuta mwanamke wa kujenga nae familia. Awe mwanamke mwenye uhitaji wa mume. Hata kama ni mshangazi sawa tu haina shida LAKINI elimu yake ianze na bachelor degree au zaidi. Pia umri wake uanzie miaka 30 mwisho miaka 36 tu. Awe private sector or public sector, Karibu sana...
  13. BISLETT STADION

    JF Chit: Mchezo wa kutafuta mchumba

    I am gentleman looking for a wife. Jamani kama kuna mwanamke mwenye uhitaji karibu sana. Umri kuanzia miaka 30 mwisho miaka 36. Awe na elimu kuanzia Bachelor degree au zaidi, na sio elimu chini ya degree NO PLEASE. AWE PRIVATE SECTOR OR PUBLIC SECTOR. Mengine tutayajadili pm. Karibu sana...
  14. BISLETT STADION

    JF Chit: Mchezo wa kutafuta mchumba

    Msemakweli ni mpenzi wa Mungu , Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mume. Awe na umri kuanzia miaka 30 na mwisho miaka 36. Elimu yake: Bachelor degree au zaidi. Asiwe below bachelor degree, if she have Diploma or less ...... I am so sorry hata kama ni mshangazi una hela zako but pita pembeni...
Back
Top Bottom