Recent content by Bishop J

  1. B

    Rais aweka msimamo mpya wa sera za nje za Tanzania!?

    Hujui kwamba Uganda na Rwanda wanachuma dhahabu Congo? Ukweli unabaki palepale kwamba wanatafuta maslahi ya nchi zao
  2. B

    Rais aweka msimamo mpya wa sera za nje za Tanzania!?

    Mimi naona msimamo wa Rais ni muafaka kwa wakati huu. Kama umemsikiliza vzr amesema tuangalie maslahi ya nchi kwa sasa. Uhasama kati ya Parestina na Israel unatuhusu nini kama watanzania? Au Uhuru wa Sahara magharibi unatuhusu nini mpaka tumchukie Morocco? Tumepoteza ndugu na Mali na...
  3. B

    Battle: Uganda vs Tanzania

    Mjadala huu hauna faida, achana nao
  4. B

    Battle: Uganda vs Tanzania

    Hii hoja haina tija na haina mashiko. Inawezekana kweli hapa ni uchonganishi tu unaendelea
  5. B

    Jaribu Bongo uone

    Hilo ni pepo, tunspaswa kukemea kwa nguvu tusiwe na watu wa hivyo nchini kwetu
Back
Top Bottom