Mfumo Mzima wa Sanaa umejaa unyonyaji kwa maana Soko la Sanaa limeshikiliwa na watu wachache wenye ukiritimba na yanahitajika maboresho makubwa ili kumaliza tatizo!
huyo Jamaa nae aliechapiwa sijui anamatatizo gani? Kwanini asimalizane na Mkewe kila Mja ajuwe ustarabu wake kuliko uamuzi wa kufungua kesi ambayo ndio unaitangazia Dunia kuwa umechapiwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.