Message
Odero Charles Odero, umelamba asali au? Haya mabandiko yako yanazidi kutupa picha kwamba ulikuwa Team Mboe. Maana yake, sasa unatumiwa na Mboe? Kama mmelamba asali, basi mjue kwamba itawatokea puani. Huwezi kubadilika ghafla na kutarajia watu wasitambue kinachoendelea.
Watunga Katiba hawakuzingatia moja kwa moja maandiko ya Biblia na Qurani Tukufu kama msingi wa Katiba, licha ya ukweli kwamba viongozi wetu wanapohutubia wananchi mara nyingi huhubiri amani, upendo, umoja, haki na mshikamano.
Jambo la msingi ni kwamba misingi hii imefundishwa kwa muda mrefu...
Kama upo jkt ,vizia cku wakija watu wakijitambulisha ni watu WA usafi au Tasisi za ovyovyo jiongeze chapu, watachukua namba ya cm watafanya ya kwao wakijiridhisha watakufuata, hautumii hata sh 1, na hata rushwa hakuna
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.