Binafsi nina uzoefu wa kazi ya unasihi (Psychotherapy/Counseling) kwa miaka minne, miaka 2 baada ya chuo nilipata kazi kupitia kujitolea zahanati moja hivi, nafasi zilitoka za shirika fulani hivi nika apply nikapata kazi ya mkataba wa miaka 2, ilivooisha hiyo nikaiingia mtaani, nachojikubali ni...