Recent content by bintidina

  1. bintidina

    Kutekwa kwa MO , uongozi wa Simba uitishe Mkutano wa dharula

    amepatikana na watekaji wamekamatwa tusubiri tamko rasmi la polisi
  2. bintidina

    Kutekwa kwa MO , uongozi wa Simba uitishe Mkutano wa dharula

    mungu mwema ameshapatikana
  3. bintidina

    Natafuta mume

    SIFA ZANGU - miaka 36 - mkristo - nimeajiriwa serikalini - nina mtoto mmoja - sijawahi kuolewa -naishi dsm SIFA ZAKE -nahitaji mume -mwenye upendo wa dhati - mkristo -muajiriwa/amejiajiri -umri 37-45-mrefu -rangi yoyote -mkweli -muaminifu kama haikuhusu pita kimya kimya sihitaji mapovu
  4. bintidina

    Mume wa kunistiri uko wapi jamani?

    kila la heri ukipata nijuze nami nianze kutafuta kwani nahisi wa kunistiri nami huwenda nikampata humu
  5. bintidina

    Hivi wapenzi wakutanao mtandaoni mna nanii kweli?

    mi nishaliwaga sana tu ila sijapata niliyempenda kwa dhati
  6. bintidina

    Hii ndiyo mbinu kubwa ya kumjua kama Mpenzi wako wa Kike ni Msafi au Mchafu

    unawezaje mnyonya mtu ambaye hajaoga tangu asubuhi au mwenzetu umezoea harufu ya majasho
  7. bintidina

    Nataka kujua kwanini wanawake wembamba hawajifungi kanga?

    sasa mnanichanganya mara mseme wanene wana vitambi vinakera nimeanza diet mnasema wembamba ni shida sielewi nibaki wapi
  8. bintidina

    Napenda wanawake wenye vitambi

    kuanzia leo nitaanza kujidai kumbe kuna wanaovifagilia vitambi eeh nilikuwa sijui hili vitambi oyee
Back
Top Bottom