Recent content by Binti zanda

  1. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa .

    Ahsante sana ujumbe muhimu sana huu ahsante mkuu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa .

    H hapana nashukuru sana nimekueleWa Ahsante
  3. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa .

    H hapana nashukuru sana nimekueleWa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa .

    Inz Inshalllah ushauri mzur sana na naiman huu ushaur napaswa kuufanyia kazi ahsante
  5. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa .

    35
  6. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa .

    Mm sojaomba ushauri wa kutatua tatizo lipo hapo kwenye ndipo nilipouliza mm Angalau ww umenielewa nilichoongelea.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa .

    Nim Nimeshatumia sana hizo dawa nimetumia gmitishamba na za makombe
  8. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa .

    Poa inshu kubwa na ninachotaka kufahamu na msome kwa umakini sana hiyo paragraph ya pili kutoka mwisho .hapa sio inshu ya uvumilivu au nn tatiz lipo hapo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa .

    Mmoja
  10. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa .

    Jitahidi usome kwa umakin nilichouliza.nisingekuwa mvumilivuwiki ya kwanza tu ingenishinda ndoa lakin sasa miaka minne
  11. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa .

    Mm ni msichana mw umri wa miaka 24 ni miongoni waliojaaliWaa kuolewa ndoa za mapema maana nilifunga ndoa na mume wangu nikiwa na miaka 20:mpaka sasa nimedumu kwa takriban miaka minne. Nisiwachoshe sana niende moja kwa moja kilichonifanya nifungue huu uzi.mm na mume wangu kwa miaka hiyo minne...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu adabu nyumba za kupanga Dar zimenishinda tabia

    Sasa ww jirani umrkuja jana tu leo hii ushajua mpaka wenyeji wako wameumbika vp jirani unanitisha sasa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu adabu nyumba za kupanga Dar zimenishinda tabia

    Kumbe upo humuuu eeeh message sent sasa naomba leo utupumzishe jirani zako tunachoka na mizunguko ya mchana
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu adabu nyumba za kupanga Dar zimenishinda tabia

    Usiku kucha tunasikiliza vanga,singeri ,minanda duuuuh
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu adabu nyumba za kupanga Dar zimenishinda tabia

    Kweli akirudia na leo nitafanya hivyo kama mbwai na iwe mbwai.afe kipa afe beki leo siwezi kukesha tena kwa ujinga wa mtu mmoja nitaleta mrejesho kitakachoendelea NB.mkiniona kimya sijaleta mrejesho mjue nishapelekwa kusikojulika na mtu asiyejulikana kama nilivyosema huyu ni mgeni ndio kwanza...
Back
Top Bottom