Recent content by binti msangi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kanichunia

    Kweli kabisa unachosema@kikulachoChako
  2. B

    JamiiForums Tanzania Girls kwa aliye serious

    Haaa haaa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wanaoapply Customer Care position kuweni makini na hii no

    Kuna watu zoom wanafanya michezo michafu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wanaoapply Customer Care position kuweni makini na hii no

    Kuna wakati niliomba kazi mahala kupitia zoom baada ya siku moja nikapigiwa simu na njemba ananiambia yeye ni mmoja kati ya watu wanao warectuit waombaji so nitume pesa ili jina langu lipitishe ili nipate kazi na akataja mshahara ni 1.2m kwa mwezi lkn natakiwa nitume 50000 kwake..yeye atatoa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mpenzi wako akijua unampenda anakufanyia vituko

    Haaaa haaaa pritty
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wanaoapply Customer Care position kuweni makini na hii no

    Yalitokea ila mie ni mtu aliniunganisha... Baada ya kupigiwa nikaambiwa kwa vile nimechelewa nitume pesa kwa ajili ya uniform,eti training mpk uwe na uniform ila cha kushangaza sikuambiwa kazi gani nitafanya... Nikawaambia watafute mtu mwingine...
Back
Top Bottom