Wanaoapply Customer Care position kuweni makini na hii no

Wanaoapply Customer Care position kuweni makini na hii no

trplmike

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
701
Reaction score
798
Kuna no 0718 202947 inawapigia watu walioapply position ya Customer Service position zilizotangwa zoom ikiwaambie wamechaguliwa na wanatakiwa kuanza kazi immediately. Ila wanatakiwa kutoma elfu 80 kwa ajili ya unform.
Huyu jamaa alimpigia ndugu yangu na kumwambie amepata kazi. na anatakiwa kuanza jumatatu ila inatakiwa elfu 80 ya uniform. Anadai ofisi zipo kurasini
Nimemwambia haiwezekani kampuni inahitaji watu. hakuna interview, hujareport bado ila unaambia utume elfu 80 ya uniform. Huo ni wizi mtu.
Kuweni makini ...
 
Yalitokea ila mie ni mtu aliniunganisha...
Baada ya kupigiwa nikaambiwa kwa vile nimechelewa nitume pesa kwa ajili ya uniform,eti training mpk uwe na uniform ila cha kushangaza sikuambiwa kazi gani nitafanya...
Nikawaambia watafute mtu mwingine...
 
Mi mwenyewe yamenikuta huyo jamaa kanipigia na mm maana niliomba hiyo nafasi. kampuni inajita Zodiac Africa ltd
 
Hii zoom mbona inawatisha watu...ina maana kazo zote zinazotangazwa ni feki?
 
Kuna wakati niliomba kazi mahala kupitia zoom baada ya siku moja nikapigiwa simu na njemba ananiambia yeye ni mmoja kati ya watu wanao warectuit waombaji so nitume pesa ili jina langu lipitishe ili nipate kazi na akataja mshahara ni 1.2m kwa mwezi lkn natakiwa nitume 50000 kwake..yeye atatoa 200000 kumpa hr ili niapte kazi....alikuwa anaingia ktk kikao nilitakiwa kutuma kabla ya kutoka kikaoni ila sikujibu sms wala kutuma pesa...mpk leo sijawahi kupigiwa na hiyo namba tena
Zoom kuna watu wanafanya
 
jamani na me nmepigiwa cm na hao watu wanadai niwape 350000 bt Kwa leo nitangulize 100000 then trh16 niende kusaini mkataba Yaani kaniacha hoi jaman huu utapeli mpaka liniiiii?????
 
jamani na me nmepigiwa cm na hao watu wanadai niwape 350000 bt Kwa leo nitangulize 100000 then trh16 niende kusaini mkataba Yaani kaniacha hoi jaman huu utapeli mpaka liniiiii?????
du hawa jamaa ni hatari kabisa
 
Kanyabwoya Hiyo. Dawa usitume pesa hata chapa. Muajiri hasa atakuita ktk interview ofisini kwake tu. Ndo taabu ya technology, si kosa la zoom. Kuweni makini
 
Back
Top Bottom