Recent content by Binti Mimi

  1. Binti Mimi

    JamiiForums Tanzania Je uko tayari?

    kuna mahali nimepita kwenye blog moja hivi nimekutana na mtu ambae amedare to try nadhani amesoma hivi vitabu cz kitu alichoamua kufanya mm sikuwahi kufikiria lakini namuombea heri afanikiwe mtazame kwa blog inaitwa theblueboxtoday afu ni mbongo msichana
  2. Binti Mimi

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

    Time will tell waungwana time will tell atakuja omba jiuzuru uko mbele ya safari cz this time is NO MERCY TIME nilikuwa namtegemea mh Sitta aendelee na wadhifa wake huo wa uspika cz kwa maoni yangu ndie ambae angeliweza hili bunge la sasa
  3. Binti Mimi

    JamiiForums Tanzania Kulala bungeni kwaanza, wiki moja tu...

    Kaaazi kweli kweli tupate jina lake basi na jimbo analotokea:tape::doh:
Back
Top Bottom