Wakati wa ukoloni watu waliokuwa wakipigana dhidi ukandamizaji wa haki za mtu mweusi na utawala wa kimabavu walinyanyasika, wakadhalilishwa na polisi wa kikoloni na waandishi wa kikoloni, wakaitwa majina kama haya tunayoyasikia leo wendawazimu, watoto, wahuni, wapumbavu na majina yoyote mabaya...