Jamani wanajamvi naombeni kwa yeyote anayeweza kunipatia namba ya dokta Kapona tafadhali alinisaidia sana tatizo la uzazi sasa kuna rafiki yangu anashida kama yangu nataka nimpatie
Hiki kipindi ni kigumu kukopesha ila kwa huu ugonjwa kuna biashara zinaathirika na kuna zinazo fanya vizuri,isipokuwa hofu ndio tatizo,maana huu ugonjwa bwana!usipo ufuata basi utaletewa haswa kwa watoa huduma
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani, nahitaji kwenda kukopa pesa CRDB vigezo na masharti yao ni yapi? na kama nina account na haijatumika muda mrefu naweza kupatiwa mkopo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada jamani wale mnaojua utaratibu wa benki,NI VITU GANI NATAKIWA KUWA NAVYO ILI NIWEZE KUPATIWA MKOPO KWENYE BENKI KAMA CRDB,yaani vigezo na masharti yao.
Samahanini kama nimekosea jinsi ya kuwasilisha au kujieleza.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.