Recent content by bindira Tz

  1. bindira Tz

    Audio: Kesi za Matumizi Kinyume na Maumbile zimekuwa nyingi hasa Zanzibar/Pwani

    Zero tamu sana [emoji39] [emoji39] [emoji39]
  2. bindira Tz

    Sony Xperia Z3

    Simu original hii mkuu
  3. bindira Tz

    Sony Xperia Z3

    Habari za muda huu waungwana Kwanza natanguliza samahani kama nitakuwa nawaboa ila kiukweli nataka kujua Hivi ni kweli sony xperia z3 ni water proof Mimi nimenunua juzi simu ya aina hiyo nataka kujaribu kuweka kwenye maji ila naogopa Naombeni wataalamu mnifahamishe zaidi
  4. bindira Tz

    Halotel internet mnakera sana, mwogopeni Mungu

    Ndo maana wajanja tukahamia TTCL iko vizuri sana. Sasa hivi wameboresha huduma zao[emoji4] [emoji4]
Back
Top Bottom