Hivi muunganiko wa watu unakuwa Mali ya Serikali!? Hata sheria ya vyama vya siasa na asasi za kiraia imepitishwa na Bunge lakini haimanishi kwa ACT na Red cross ni Mali ya Serikali bali ni vyombo rasmi vilivyopo kwa mujibu wa Sheria!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.