Recent content by binarytz

  1. binarytz

    JamiiForums Tanzania Credit Sales Collector Vacancy

    Wew ni mnyonyaji Ajiri ndugu zako
  2. binarytz

    JamiiForums Tanzania Olympic petrol

    Nmekuelewa japo mshauri aulize maana sio kosa kuuliza mshahara wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haezi kufkuzwa kazi akiuliza wanataka kumlipa sh ngapi? Ila najiuliza tu , hawakumuuliza salary expectations? Pia hawajampa barua ya offer ili asaini ?? Anyway bongo...
  3. binarytz

    JamiiForums Tanzania Muda ambao Mungu anafungua milango hakuna cha kuzuia, endeleeni kupambana kutafuta fursa za ajira na tenda

    Mkuu noma....umekuja wakat sahihi maana Kila siku na update CV na nme apply post 500+ nliitwa Moja nkapata af siku ya kuanza kazi wakanibadilikia. yani bila hii post yako nilikua naamini nmelogwa ila now umenipa Imani Mungu pekee hajanifungulia naendelea kumtanguliza anifungulie.
  4. binarytz

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira Vijana wa kiume wamegeukia bodaboda vijana wa kike wamegeukia kujiuza

    Kuna watoto wengi katika huu Uzi. Stupid
  5. binarytz

    JamiiForums Tanzania Laana ya Umri inavyoitafuna China

    We jamaa mbona unanisema
  6. binarytz

    JamiiForums Tanzania Ni aibu gani uliipata kwenye Interview yako ya Kwanza? Mimi yangu hii

    Story za AliNacha . Hapana mze eti ulipata kazi ukaacha umeona aibu umeshindwa kuspell. Mtaonibishia kasomeni Uzi wa story ya AliNacha uone mawazo ya huyu ni robati ni fantasy zake tu. Anapoteza mda
Back
Top Bottom