Aliyekuroga naona amekufa, kwa akili yako vyombo vya habari bado vipo? Ni kweli unaamka asubuhi kufungua radio/tv kupata habari? Unaamka asubuhi unakwenda barabarani kununua gazeti ili upate habari?
Ni muda mrefu sana sijanunua gazeti, na haya ya yanoyoletwa ofisini sijayasoma na huwa nashangaa...
Tumemchangia sisi kama tulimchangia gharama za matibabu. Naona mnarudia rudia swali wakati tunawajibu, kama huridhishwi na jibu hebu lete jibu unalolijua.
Kama serikali ilikataa kumtibu, sisi na wasamaria wema tuliamua kumchangia matibabu yake na tuliweka wazi. Na sasa tunaweka wazi zira zake na usiulize nia yetu. Kaa kimya kama ulivyokaa kimya baada ya kummiminia risasi na hujatuambia nani alikuwa nyuma ya shambulizi hilo na nia yake ilkuwa nini.
Unafiki wetu unachangia sana kuzima mijadala ambayo siku ikilipuka inaweza kuwa na athari kubwa kwa mustakabali wa Taifa letu. Mijadala kama nafasi ya Uadilifu katika medani ya uongozi. It is this simple: kiongozi asiye mwadilifu kwa mkewe hawezi kuwa mwadilifu kwa taifa. Na kiongozi...
Pole, sio peke yako walioathirika na biashara zao kuzorota na zingine kufa kabisa. Kuna kitu hakijakaa vizuri na hakijapata mfumbuzi.
Hata hao waganga wa kienyeji wanalalamika.
Pole, Magereza hayakujengwa kwa ajili ya kutesa watu, ni vituo vya kurekebisha tabia. Hata hivyo mateso hayo hayatabadili ukweli, kwani UKWELI HUBAKI KUWA UKWELI.
Bora ya mimi mpaka nitoke jela, wewe tayari umeshafungwa na sasa unaamkia hiyo picha.
Wewe endeleza uaminilo kutokana na uelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.