Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,411
Hadi sasa ni dhahiri kuwa Mwenyekiti wa Chadema Mh. Freeman Mbowe amekwisha kusahaulika miongoni mwa wanachama wa Chadema, vyombo vya habari na wadau wa Siasa za Tanzaia.
Pengine wanasiasa na wanaharakati wengine watumie ukweli huu kujifunza kuwa ukitaka kufanya Siasa jaribu kutumia njia nyepesi badala ya waingereza wanachokiita learning the hardway.
Mpigania uhuru na demokrasia hapaswi kujiruhusu kufa kwa njia rahisi, kwa mfano, kuuawa akigombea mwanamke baa au kufumaniwa. Ni vivyo hivyo kwa wanasiasa wa upinzani wanvyotakiwa kuhakikisha wanatii sheria za nchi.
Pengine akifanikiwa kutoka rumande kunako Februari (2019) atatoa somo kwa wengine. Amejifunza kwa njia ngumu. Tumuombee na kuwaombea!