Hii pair ni hatar na nusu mkuu mpka sas hiv npo kwenye course ya kuitrade hii pair pekeyake maana nishatrade zote BOOM, VOLATILITY, CRASH, ila hii V75 index ni moto san mkuu...
Kama unayo strategy nzur kwa ajili ya hii pair mkuu njoo pending tuongee au nielekeze namna ya kuitrade hii pair...
Yaan kwakua anataga ndio umeina kua huyu mwamba ni mchumba..[emoji849]
Ila kwa kua umesema ni mawazo yako hamna noma mkuu endelea kufikir hivyo hivyo..[emoji1666]
Hahah hili game mim nmecheza mpaka nkaona ni game la watoto maana hata halikuniumiza kichwa..
Kama unataka kuumiza kichwa kacheze SUDOKU levek ya expert..[emoji119][emoji119]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.