Recent content by Bin Kawambwa

  1. Bin Kawambwa

    JamiiForums Tanzania Apartment simple, Chumba na Sebule

    Wataalamu wa lugha wakitupa jina/neno mbadala tutalitumia tu
  2. Bin Kawambwa

    JamiiForums Tanzania Apartment simple, Chumba na Sebule

    SCALE 1:60cm (2 feet)
  3. Bin Kawambwa

    JamiiForums Tanzania Apartment simple, Chumba na Sebule

    Habari JF. Hii hàpa sadakalawe "free hand" kutoka kwa fundi maiko kajumba cha kupangisha, sketch simple ya chumba, sebule na kajiko kadogo, Nyumba ni TWO in ONE. Choo ni public kwa matumizi yako, familia yako, na wageni wako. MATERIALS yote ya kusimamisha boma ni 5.5M (SI ZAIDI), kabla ya...
  4. Bin Kawambwa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kifaa cha kutengeza hatch kama hii

    Jifunze kwa picha
  5. Bin Kawambwa

    JamiiForums Tanzania Karibuni Jirani zangu wa Kibaha

  6. Bin Kawambwa

    JamiiForums Tanzania Karibuni Jirani zangu wa Kibaha

    Tayari watu wanaishi
  7. Bin Kawambwa

    JamiiForums Tanzania Just 2 bedrooms na toilet

    Huyu amejenga kwa ajili ya wageni, Ila kila mtu anajenga vile anapenda.
  8. Bin Kawambwa

    JamiiForums Tanzania Just 2 bedrooms na toilet

    Exactly 💯 kabisa
  9. Bin Kawambwa

    JamiiForums Tanzania Just 2 bedrooms na toilet

    Sasa hapo tyr naingia kazini, haiwez kua bure tu, chukua hizo picha unampa fundi wako wa karibu akupe hesabu yake then utalinganisha, Ukipenda unaweza ku-share na sisi hapa. Ila mimi nafanya mchanganuo pale kazi inapokua karibu kufanyika.
  10. Bin Kawambwa

    JamiiForums Tanzania Just 2 bedrooms na toilet

    Kazi yangu kujenga, na ndio kazi nina uzoefu nayo kuuza ni biashara ya watu wengine. Kama umeiona 4M ndogo unaweza kuikabidhi (legally) ili ukabidhiwe unachohitaji. Lkn nimepokea wazo, Ahsante mkuu 🙏
  11. Bin Kawambwa

    JamiiForums Tanzania Just 2 bedrooms na toilet

    Dsm Mkuu, By the way, Chumba ni elf 30 tu, tunalipa mwezi au miwili unafanya kazi ya watu ikiisha tunarudi. Umbali sio problem, mafundi tunazurura sana mikoani. Hata hapa dsm huwez kutoka mbezi uende site chanika au kivule kila siku, ni nafuu kuchukua chumba jirani.
  12. Bin Kawambwa

    JamiiForums Tanzania Just 2 bedrooms na toilet

    Me mjenzi ndugu
  13. Bin Kawambwa

    JamiiForums Tanzania Just 2 bedrooms na toilet

    Unaweza kuweka mlango mkubwa wa mbele, au ukaacha ikawa open ukatumia milango ya chumbani, kutegemea matumizi yako
  14. Bin Kawambwa

    JamiiForums Tanzania Just 2 bedrooms na toilet

    HABARI, Hiyo hapo 2 bedrooms na public toilet, nzuri ya kuanzia maisha kwa wale wenzangu wanajitafuta, unaweza kuifanya servant quarter, unaweza pia kuifanya ya wapangaji. Gharama zote zilizotumika hapo ni 4.5M, boma hadi kufunika paa, na gharama za fundi zikiwemo. Wale wenzangu wa kujitafuta...
  15. Bin Kawambwa

    JamiiForums Tanzania Kwa mil. 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu Dar?

    Unapata nyumba ya room 3 iliyotimia, na kupaua pia, chenchi zitabaki kdg unapata na ma-grill, hela inaishia hapo.
Back
Top Bottom