Recent content by Bin Kasogejo

  1. Bin Kasogejo

    MSAADA: Unawezaje kufungua namba ya NIDA ambayo ni blacklisted?

    Msaada wa namna ya kufungua Namba ya NIDA ambayo ni blacklisted.
  2. Bin Kasogejo

    SOLVED: Kwa wale wote waliotuma maombi NBS na hawajatumiwa e-mail ya password fanya hivi

    IPO wazi Hilo tushasolve tokea muda Sana ila kabla sjapata hii solution nliumiza Akili Atareee kwakukosea Email tu lakn wanasema Ukipata changamoto ndo utajua pakutokea bas hii ndo ikawa Njia ya ku solve Kwaio Anachokisema jamaa Yupo sahihi
  3. Bin Kasogejo

    Starehe yako kubwa ni ipi?

    Football matter Na Traveling kwa Sana!
  4. Bin Kasogejo

    Nataka kujiajiri ila sijui shughuli gani nifanye

    Hongera kwa Uthubutu wako katika Hilo maana Jambo ambalo weng huwa linawashinda Ni Uthubutu wa Jambo Husika But Issue hapa sio kuwa na mtaji wa hiyo uliyo sema m 1.5 Kikubwa Ni Njia ipi uliyopata hcho Kia's Cha pessa then uboreshe mikakti ya Eneo husika Uendelee kupambane pale pale ulipoipata...
Back
Top Bottom