Baadhi ya Mabaki ya Chombo cha Titan mali ya kampuni ya utalii wa bahari iitwayo Oceans Gate, kilichopata hitilafu na kupasuka Kwenye kina kirefu cha bahari na kusababisha vifo vya watu watano waliokua wakienda kuangalia mabaki ya Meli ya Titanic, yameanza kuopolewa kutoka chini ya bahari Kwa...
Aachane na Sisi..yeye mbona anadeka kama mtoto wa mwisho na Sisi hatusemi? Kama anafiri mdomo utashinda vita aendelee kupepeta atajifunza kitu with time
Aliyekuwa Gwiji wa utakatishaji fedha aliyejipatia umaarufu mitandaoni hasa Instagram, anayejulikana Kwa jina la Hushpuppi amefunguliwa mashtaka mapya na waendesha mashitaka wa Marekani wakimtuhumu kufanya ulaghai na kutakatisha zaidi ya dola za marekani 400,000 (zaidi ya Tsh Milioni 900) akiwa...
Ukitaka Official zaidi nenda UDOM
https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=https://m.facebook.com/permalink.php%3Fstory_fbid%3D713423648851057%26id%3D299343746925718&ved=2ahUKEwiXxcyXuebvAhVYhv0HHX7xDBAQFjACegQICBAC&usg=AOvVaw0tGynTSe6nf-K36FIdX1mT
Ila kigwangala ana unafiki sana huyu mchunga ng'ombe wa Tabora, anaaibisha sana jamii ya wafugaji. Kwa mwaka mzima na miezi since COVID19 imeanza alikua anatetea ugali na kuudanganya umma ili abaki kua Waziri, kibaya zaidi this ignorant imbecil is a Doctor aisee, na ni kiongozi ana wananchi...
Hivi hizi nafasi za kuongea na Watanzania tena wao wakiwa kwenye madhabahu wanapewa kwa criteria gani hasa? These people never learn..nyumba za ibada ziheshimiwe
Huyu jamaa aangaliwe sana. Watu wa namna hii hapo alipo ndio inatakiwa iwe sehem yake ya mwisho kushika madaraka, warudishwe kwenye mashina huko wapewe deskjob. Kiburi na majigambo ya namna hii ndio yale waswahili wanasema "Pata pesa tujue tabia yako", hii sio tabia ya kujifunza ndani ya miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.