Recent content by Billy Graham

  1. Billy Graham

    Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

    Nafundisha private chuo sikaji kama mhadhiri ila nalipwa mpunga zaidi wa huo aloweka mdau wa UDSM Inawezekana sana private mshahara ni negotiations kama sio muelewa wa mambo watakupa scale pungufu Kwa hiyo inadepend na private kupata cheo ni haraka, disadvantage ya private huwezi kukutana na...
  2. Billy Graham

    Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

    Ina maana private wanalipa tofauti au wewe umepigwa bila kujijua 🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️
  3. Billy Graham

    Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

    Imedhibitishwa ingia www.tcu.go.tz Yametokea makosa ya kiufundi
  4. Billy Graham

    Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

    Umenena bidada Mahesabu yamekaa vizuri kichwani Maana watu wanakosea ratio
  5. Billy Graham

    Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

    Hivi na private wanalipa sawa na serikali au wao wanaongeza mkuu??
  6. Billy Graham

    Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

    Hii guideline inaanza kutumika mwaka huu Hata hivi vyuo wataanza kutumia hizo guidelines
  7. Billy Graham

    Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

    TCU imetoa third edition ambayo imekuja na mabadiliko mengi. Moja ya hayo ni kubadili kigezo cha kufundisha kuwa 3.5 kwa undergraduate badala ya 3.8 kwa vyuo vya serikali kama ilivyokua awali lakini 4.0 kwa Masters imeendelea kua ileile Hii itatoa fursa kwa wanataaluma wenye sifa kupata nafasi...
  8. Billy Graham

    Masters of Public Health

    Mimi ni Mwalimu wa Masomo ya sayansi. Nataka nirudi shule 📘 Vipi kuhusu hii course ya Public Health nasikia inalipa. Naomba maoni yenu wakuu. Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom