Recent content by Billcash

  1. Billcash

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari, naombeni process ha kubadili jina linalosomeka kwenye Luku, nlinunua nyumba imeshaingizwa umeme.
  2. Billcash

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Mwenye After 4:30 p.m na My Dear Bottle by David G. Maillu please upload, thanks in advance. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Billcash

    Kwanini Watanzania ni masikini? Nimeokota stakabadhi za ATM, hawana kitu kabisa

    Tumekuwa maskini kwa sababu ya tabia zetu, familia tegemezi na kutojali ya kesho. Wengi tunaishi kwa kudra, ukiumwa ugonjwa unaohitaji matibabu ya milioni 10 lazima utembeze bakuli.
  4. Billcash

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco, nimekosea kuandika namba ya mita yangu wakati wa kununua umeme, na nimeshapewa unit ambazo haziingii kuingia kwenye mita yangu, utaratibu wa kupata unit zinazoweza kuingia kwenye mita yangu upoje? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Billcash

    Line ya tigo pesa

    Kama utangulizi unavyojieleza wakuu..mwenye line ya tigo pesa anipm, dau langu 130000.
  6. Billcash

    Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtelmoney na Halopesa

    Nataka Voda na tigo pesa, ziwe na full documents 120000 kila moja wapo.
  7. Billcash

    Nahitaji gari ya kukodi,

    Nahitaji gari ya kukodi tarehe 7 mwezi wa nne kuanzia saa 5 asubuhi hadi saa 6 usiku kwa ajili ya harusi, Aina za gari ninayohitaji ni Prado au range. Bajeti 250000.
  8. Billcash

    Pendekezo kwa Wizara ya Elimu: Walimu wafanyishwe mitihani wachujwe na shule za kata zipunguzwe

    Walimu wafanyishwe mtihani, sawa, wewe ndo utaandaa huo mtihani au nani? Na utasaisha mwenyewe au? Una uhakika unachopendekeza kitaondoa shida iliyopo Tanzania kwa sasa na baadae au?
  9. Billcash

    Nataka gari aina ya Toyota Spacio New model au Premio

    Kama inavyojieleza hapo juu, bajeti ni 7.5, mwenye nayo tuwasiliane tafadhali.
  10. Billcash

    Natafuta mswaki wa Toyota Spacio old model

    Ni engine iliyotolewa baadhi ya vitu
  11. Billcash

    Natafuta mswaki wa Toyota Spacio old model

    Kama utangulizi hapo juu unavyojieleza, natafuta mswaki wa Toyota Spacio old Model, ni vizuri nikipata na range za bei. Natanguliza shukrani.
  12. Billcash

    Pata simu zifuatazo kwa mikopo kwa masharti nafuu

    Nipe bei ya iPhone 6s+
  13. Billcash

    Naomba mnipokee

    Haya, mgeni mwenyeji usisite kutujuza kama we ni ke au me.
  14. Billcash

    Nahitaji mini laptop

    Kama kichwa kisomekavyo, nahitaji mini laptop bajeti yangu 200000 nipo Dar.
Back
Top Bottom