Recent content by bill2014

  1. B

    Ukiomba Kazi Kukosa Kawaida, ila hii iliniuma...

    However the bigest archivement is not what you become but what you overcome...Sala na kuendelea kutuma... who knows what 2moro will come with...provided hakuna kukata tamaa.
  2. B

    Ukiomba Kazi Kukosa Kawaida, ila hii iliniuma...

    Wahanga wa hili tatizo tupo wengi nimefwatilia ushauri nafikiri utanisaidia pia.
  3. B

    Sekretariati ya Ajira Yaanza Siasa Sasa

    Hakuna kilicho ongelewa hapo nisiasa tu...kama mpo makini tupeni deadline ya kupokea maombi natarehe ambapo usaili utafanye punde mkiweka matangazo ya kazi na huo ndio uwajibikaji..
  4. B

    Usaili Zimamoto kwa tarehe 28&29/03/2014

    Wasaka tonge tumeweka nukta usaili ule...
  5. B

    Ajira ya Uhakika hii Hapa: Hakuna mizengwe

    Tumesha potezewa mda huko tumechoka hamna jipya wizi mtupu...hamna chochote najua hiyo ni acc yako kila tuki try wana kwambia pesa zako zina ongezeka hamna lolote mwisho wata kwambia ujaze form then kuna code fulani hivi sikumbuki vizuri ila na fikiri ni zip code ambazo huto weza kujaza kwani...
  6. B

    Tazama Mbowe alivyofurahia Hotuba ya Kikwete Bungeni jana

    Jk ni liberal deep inside him.. ame onyesha hizo element tokea aikanyage ikulu..haijalishi ni mawimbi kiasi gani aliyo kumbana nayo.
  7. B

    Any one with any information on the CAMUSETA

    J.lee jirani vp bado hawa ja kuita na wewe...mambo safi lakini
  8. B

    Any one with any information on the CAMUSETA

    Minilifanya Administrative post bana & sija pokea simu wala missed call yeyote ngeni.
  9. B

    Any one with any information on the CAMUSETA

    Da! Umepigiwa simu lini mkuu.
  10. B

    Any one with any information on the CAMUSETA

    Vipi wale jamaa kwenye ile open interview yao ya juma mosi kule palm street/ mbez beach hawaja ita watu bado..!!
  11. B

    Tutafakari maneno haya ya Sitta baada ya kuchaguliwa

    Mnafiki hana kambi sikuzote bora uwe moto au uchague kua baridi.
  12. B

    Tanzania: Tatizo la ajira kwa vijana ni kubwa sana, lisifanyiwe masihara!

    Hili tatizo limekua issue kweli!!
Back
Top Bottom