Recent content by biliQ

  1. B

    Ajuco

    Kwa kozi ya MD,,, Peramiho campus, kuna challenge zipi pale, academically, mazingira, hostel au upatikanaji nyumba za kupanga,, Wenyeji kweny hiyo campus tunaomba mtujulishe zaidi,,, Sabab naskia hali ya kimazingira na makazi ni ngumu kwa hiyo campus,,
  2. B

    TCU na Kozi za Udakitari

    Nimependa sana comment yako,, u have spoken da truth,,, Fikilia C.O amekuwa kwemy medical practice, then a-upgrade to degree level + internship,, possibility ni kubwa ku-acquire more skills &competence,, coz Clinician ashakutana na ku-manage case tofauti,,,, By da way, slots zimebaki KIU kwa...
  3. B

    Uthibitisho wa chuo

    yep,,, hiyo ndo manake, chuo kinaweza kureject selection, japo ni marachache sana,,, NACTE wakishakuchgua obvious chuo kina confirm tuu, coz umekidhi criteria za chuo.
  4. B

    Taarifa kwa wale wote wa NACTE

    hazi kazi ipo,,,!
  5. B

    Majina ya wanafunzi kupitia nacte 2015/2016

    Naamini NACTE wangeipata hii text, basi leo hii selection zingetoka,,, Ni ukweli kabisa kupata chuo ni jambo moja, na maandalizi ya Ada ni swala lingine, sabab sio kozi zote zinazopatiwa mkopo,, ukizingatia muda uliobaki kufungua vyuo, ni dhahiri watu wako dilemma
  6. B

    Wale wa NACTE

    NACTE ni majanga matupu,,, Labda tusubiri hiyo tar 16 labda profile zetu zitabadilika
  7. B

    Msaada wa haraka kwa mwenye uelewa

    Database is not accessible,,, hopefully something is happening,, tuwe wavumilivu,,, tusubiri tuu,,,,
  8. B

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Mzee Kingunge Ngombale Mwilu, aachana rasmi na CCM
  9. B

    Taarifa kwa wale wote wa NACTE

    huu mwaka ni majanga,,,! Yani TCU upandae wao wanaongelea 2nd selection, lakin kwa NACTE bado n kizungumkuti hata 1st selection hawajatoa kweny profile zetu, sasa hii inakuaje,!? Na tar 26 mwezi huu vyuo kama SAUT vinaanza kupokea 1st yr,,, Sasa hawa NACTE 1st selection zitaoneka lini kweny...
  10. B

    ALIYESOMA DEGREE YA SCIENCE EDUCATION(CHEM na BIOS ) ANAWEZA KUSOMEA MEDICINE

    Unaweza apply kupitia NACTE,, huku ndiko equivalent applicants wanakopitia.. coz huku NACTE ndiko unakoweza kuattach degree/diploma certificate na transcript yako,,,
  11. B

    Inawahusi hii kwa wale waliomba kupitia NACTE 2015/16

    Dah,,! tupe vivid news mkuu,, mana tunahali mbaya saiv, hatuelewi inakuaje, wakti upande wa TCU wanasubir 2nd selection,, kiukweli tuko dilemma,,, Je, hiz info toka ndani ya NACTE,,,? tunaomba details mkuu,,,
  12. B

    ALIYESOMA DEGREE YA SCIENCE EDUCATION(CHEM na BIOS ) ANAWEZA KUSOMEA MEDICINE

    yeap,,, ukiwa ni bachelor holder kama b.sc.in education (chem & bios), au b.sc in chem & bios, au b.sc in bios, au b.sc in zoology,, Hizi ni equivalent entry requirements kwa MD program,. Bila kusahau Diploma in Clinical Medicine, ambayo ni 1st priority.
  13. B

    St. Joseph universty college of health and allied science

    Impact ya urais ktk mabadiliko kielimu itaonekana 2017,. Kwa mwakani 2016 haiwezekan coz bajeti ya elimu ilishapita, na bodi ya mikopo ishawekewa bajeti yake ya 2015/2016. Tujue tuu kuwa bado tutaendelea kuteseka kwa gharama za elimu ya juu ,,, Inauma sana mtu umefaulu na umepata nafasi ya chuo...
  14. B

    Ajuco

    wametoa majina, visit www.ajuco. ac.tz
Back
Top Bottom